Waafrika tujitafute, Ukristo na Uislamu si kwa ajili ya mtu mweusi

Hakuna kilichoandikwa na Mzungu the oldest Bible iko Ethiopia wakati Hao mababu zako WA kizungu wakiwa kwenye mapango. Na ndio maana walijaribu kuivamia hiyo nchi Mara kibao na silaha kali still hawakuweza maana ndio sehemu pekee iliyobaki ambayo hawakuweza kualter anathing. Wamshukuru mgiriki walipokuja kujifunza Egypt, Ethiopia na Nubia ndio akaamua kustafsrii WA lugha yake then mroma nae akaomba then huyo mzungu WA mwisho akajaa baadae kuweka kwa kingereza ndio akaona Kuna faida akiibadili kwa upande wake but still hakuweza vyote. Na ndo maana mpk kesho anahangaika na historia ya Egypt iwe nyeupe. Maana bila hivyo uongo wake wote utakuwa hauna maana.
Ndio maana jua halinisumbui but wao. Linawasumbua. Because am the ORIGINAL.
Elimu nene uliyoipata Imekusaidia tu Kukuongezea Confusion na Ubishi. Sawa Black Man komaa na History😅
 
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.

Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.

Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism

Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒑𝒊𝒔𝒉𝒐.
𝑩𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒘𝒆𝒘𝒆 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒈𝒖𝒏𝒅𝒖𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒊𝒏𝒂𝒌𝒖𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊?
𝑵𝒂 𝒋𝒆! 𝑼𝒍𝒊𝒑𝒐𝒋𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒈𝒖𝒏𝒅𝒖𝒂 𝒏𝒊 𝒕𝒖𝒏𝒖 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒇𝒓𝒊𝒌𝒂 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊𝒑𝒐𝒕𝒆𝒛𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒛𝒂 𝑼𝒌𝒓𝒊𝒔𝒕𝒐 𝒏𝒂 𝑼𝒊𝒔𝒊𝒍𝒂𝒎𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒛𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎𝒖 𝒛𝒂 𝒊𝒃𝒂𝒅𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒉𝒊 𝒚𝒆𝒕𝒖 𝒔𝒊𝒔𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒇𝒓𝒊𝒌𝒂?
𝑱𝒆, 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒔𝒂𝒓𝒂 𝒛𝒊𝒑𝒊 𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒕𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒛𝒐 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒇𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒂𝒄𝒉𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒛𝒐?
𝐍𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐟𝐚𝐟𝐚𝐧𝐮𝐳𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐭𝐚𝐟𝐚𝐟𝐡𝐚𝐥𝐢 。^‿^。
 
Historically Empire zote kubwa Africa ambazo zimetingisha Dunia zilikua na Dini, Kuanzia Egpty ya kale, Ethiopia (Aksum), Mansa Mussa na Mali Empire yake etc.

Mataifa ya sasa ya Ki Africa yanayoiga mifumo ya kizungu kama Kijamaa na Ubepari ndio yamekaa kunyonywa nyonywa tu. Ambayo yanajielewa yenye identity kila siku yanazidi kuendelea
Mansa Musa wakati anaenda kuhiji Makkah,aliishusha thamank ya dhahabu pale misri,maana alimgawia kila mtu
 
𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒑𝒊𝒔𝒉𝒐.
𝑩𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒘𝒆𝒘𝒆 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒈𝒖𝒏𝒅𝒖𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒊𝒏𝒂𝒌𝒖𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊?
𝑵𝒂 𝒋𝒆! 𝑼𝒍𝒊𝒑𝒐𝒋𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒈𝒖𝒏𝒅𝒖𝒂 𝒏𝒊 𝒕𝒖𝒏𝒖 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒇𝒓𝒊𝒌𝒂 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊𝒑𝒐𝒕𝒆𝒛𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒛𝒂 𝑼𝒌𝒓𝒊𝒔𝒕𝒐 𝒏𝒂 𝑼𝒊𝒔𝒊𝒍𝒂𝒎𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒛𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎𝒖 𝒛𝒂 𝒊𝒃𝒂𝒅𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒉𝒊 𝒚𝒆𝒕𝒖 𝒔𝒊𝒔𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒇𝒓𝒊𝒌𝒂?
𝑱𝒆, 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒔𝒂𝒓𝒂 𝒛𝒊𝒑𝒊 𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒕𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒛𝒐 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒇𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒂𝒄𝒉𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒛𝒐?
𝐍𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐟𝐚𝐟𝐚𝐧𝐮𝐳𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐭𝐚𝐟𝐚𝐟𝐡𝐚𝐥𝐢 。^‿^。
Huoni mnavyopenda dini kuliko maendeleo.
Huoni mnavyobaguana kwa dini.
Wengine wako tayari kufa kwa ajili ya dini.
Mkijadili maendeleo lazima udini uingie hawapendi kiongozi sababu ni dini fulani.. Etc.
Tuko radhi kujaza makanisa na misikiti kuliko hospitals na shule. Mengine hata wewe ukikaa ukaumiza kichwa utayaona
 
𝐇𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐩𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐨 𝐢𝐬𝐢𝐩𝐨𝐤𝐮𝐰𝐚.𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐤𝐢𝐬𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐬𝐚𝐰𝐚.
𝐓𝐮𝐬𝐢𝐩𝐨𝐣𝐚𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐢𝐤𝐢𝐭𝐢 𝐰𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐚 𝐯𝐢𝐣𝐚𝐳𝐰𝐞 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐠𝐚𝐧𝐢? 𝐔𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐨𝐬𝐩𝐢𝐭𝐚𝐥𝐬 𝐧𝐝𝐢𝐲𝐨 𝐲𝐚𝐣𝐚𝐳𝐰𝐞? 𝐇𝐚𝐥𝐢 𝐤𝐚𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐬𝐡𝐮𝐥𝐞 𝐳𝐢𝐦𝐞𝐟𝐮𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐰𝐚𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚𝐨? 𝐍𝐢𝐧𝐢 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐜𝐡𝐮𝐤𝐢𝐞?
 
Mkuu usichokijua unabishaja na Wachawi wakitetea tunguli zao.
 
Bible Mungu anasema atawawanya Kwenye kona 4 za Dunia. But wale wahuni wakuja kutoka Germany na Spain [emoji23]
Dunia ni duara /tufe sasa hizo kona nne zinatoka wapi ,hawa waandishi wa kale bure kabisa
 
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.

Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.

Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism

Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
Nani alikwabia Ukristo ni dini ya Wazungu. Kwani kabla ya Ukristo (2000 yes ago) hawakuwa na dini?
 
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.

Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.

Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.

Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism

Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
wapo waswahili wa Islam na wakristo, wenye ukwasi mkubwa,watu kama Boss Ruge, Mzee Mengi, Dangote, dini hizo sio shida, shida tunataka dini zitatue matatizo ya kiuchumi,
 
Na hili sio jukumu la dini
 
𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒑𝒊𝒔𝒉𝒐.
𝑩𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒘𝒆𝒘𝒆 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒈𝒖𝒏𝒅𝒖𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒊𝒏𝒂𝒌𝒖𝒂𝒎𝒃𝒊𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊?
𝑵𝒂 𝒋𝒆! 𝑼𝒍𝒊𝒑𝒐𝒋𝒊𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒈𝒖𝒏𝒅𝒖𝒂 𝒏𝒊 𝒕𝒖𝒏𝒖 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒇𝒓𝒊𝒌𝒂 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊𝒑𝒐𝒕𝒆𝒛𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒛𝒂 𝑼𝒌𝒓𝒊𝒔𝒕𝒐 𝒏𝒂 𝑼𝒊𝒔𝒊𝒍𝒂𝒎𝒖 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒛𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎𝒖 𝒛𝒂 𝒊𝒃𝒂𝒅𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒉𝒊 𝒚𝒆𝒕𝒖 𝒔𝒊𝒔𝒊 𝒘𝒂𝒂𝒇𝒓𝒊𝒌𝒂?
𝑱𝒆, 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒔𝒂𝒓𝒂 𝒛𝒊𝒑𝒊 𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒕𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒛𝒐 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒇𝒂𝒊𝒅𝒂 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒛𝒂 𝒌𝒖𝒂𝒄𝒉𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒊𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒉𝒊𝒛𝒐?
𝐍𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐟𝐚𝐟𝐚𝐧𝐮𝐳𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐭𝐚𝐟𝐚𝐟𝐡𝐚𝐥𝐢 。^‿^。
Mmekuwa tegemezi mno, mnaona watu weupw ndio bora sana na nyie duni sana
 
Mental slavery
Mimi ni Mtumwa wa Allah. Na nimeridhia hilo. Jambo bora lilioje hilo kuwa Mtumwa wa Mola wa viumbe vyote.

Nimeridhia kwa Allah kuwa Mola wangu, na kwa Uislam kuwa Dini yangu na Muhammad (Rehma na Amani ziwe Juu yake) kuwa Nabii wangu.

Ninashuhudia ya kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah. Na ninashuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Allah.
 
Back
Top Bottom