Fatilia historia ipo wazi kabisa, Mfano helaku la Suleimani lilibomolewa kama Yesu alivyo watabiria, Hao wanaoitwa leo Waisrael walirudishwa hapo kwenye hiyo nchi 1948 baada ya ww2. Kumbuka walitawanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Unaweza kusoma Biblia na kuona Kush ni nani pia soma Kumbukumbu la Torati kwanzia 28 utaona kilicho andikwa pale. Wazungu wamejiinua sana kama wao ndiyo watu bora sana mapicha yao unaweza kuona Malaika wana muonekano wa kizungu hata Yesu mwenyewe wamemweka kwenye sura ya kizungu wakati hakuna kitu kama hicho.