Waafrika tujitafute, Ukristo na Uislamu si kwa ajili ya mtu mweusi

Zz ww
 
Huyu kijana wa Ghadafi (Mlibya) alipomaliza zoezi lake, hatuna taarifa kama aliendelea na mishe zake au alimpenda Yesu. Ila huyu tajiri wa Ethiopia amewekwa wazi.
Ndiye aliyeufikisha injili Golgota, ukombozi ilikuwa ni process. Ameandikwa purposely ndio maana ana full address Simioni Mkerene toka Libya.
 
Hayo uyasemayo umeyatoa kwenye source ipi nasi tukapate maarifa huko hasa hilo la watu weusi kuwa wazawa halisi wa mashariki ya kati
Fatilia historia ipo wazi kabisa, Mfano helaku la Suleimani lilibomolewa kama Yesu alivyo watabiria, Hao wanaoitwa leo Waisrael walirudishwa hapo kwenye hiyo nchi 1948 baada ya ww2. Kumbuka walitawanyika zaidi ya miaka 2000 iliyopita.

Unaweza kusoma Biblia na kuona Kush ni nani pia soma Kumbukumbu la Torati kwanzia 28 utaona kilicho andikwa pale. Wazungu wamejiinua sana kama wao ndiyo watu bora sana mapicha yao unaweza kuona Malaika wana muonekano wa kizungu hata Yesu mwenyewe wamemweka kwenye sura ya kizungu wakati hakuna kitu kama hicho.
 

Mbona imani zetu zipo sema wazungu na waarabu waliziharibia jina tu,vilinge ndio makananisa na misikitu yetu karibu sana tuendeleze imani za wazee wetu.
 
Ukiacha Waganga na Ujuaji Utapona Akili, Kabisa Mwanamke huna hofu ya Mungu hata Chembe afu unataka Ndoa🙄💔
Yesu/Allah Akuhurumie.
 
Waafrika sie Wapumbavu sana,
Kuforce historia ya ulimwengu kubebwa na Rangi nyeusi ni upumbavu usio na Maokoto.
Utasikia Yesu alikua black mara Adam na Hawa.
Ujinga sana huu, Nakubal Ardhi ya Africa imebarikiwa Viingi lakini sisi kama sisi Waafrika tumenyimwa kila kitu Isipokua Nguvu hasa za Kiume.
 
Biblia ni kitabu cha mtu Mweusi kuliko kitabu kingine chochote cha kiimani.
Wazungu walitakiwa watafute kitabu Chao kama walivyofanya waarabu. Sema ndio hivyo hawana history so wakaamua kugeuza kwenye nyeusi akaweka nyeupe then akajiita yeye. Muongo kama shetani
 
Kabisa....wazee wetu walikuwa wakiomba mvua inanyesha............siku hizi kisingizio....mabadiliko ya tabia nchi.
 
Hayo uyasemayo umeyatoa kwenye source ipi nasi tukapate maarifa huko hasa hilo la watu weusi kuwa wazawa halisi wa mashariki ya kati
Kaanze na mwanzo 13:1 KJV kabla hawajanza kubadili. Then jiulize Samsoni alikuwa na rasta Nani mwenye nywele za kufunga rasta bila kunyoa.
 
Bible Mungu anasema atawawanya Kwenye kona 4 za Dunia. But wale wahuni wakuja kutoka Germany na Spain [emoji23]
 
Mpumbavu mwenyewe mvivu WA kusoma hata history. But hulazimishwi kufuata ni hiari yako tu.
 
Lakini Kule kwetu Ethiopia ndipo Kuna bible ya Kwanza kabisa.. So ukristo hauwezi kutengana na muafrika...
 
Upuuzi.
 
Kabisa Jesus was black....ndio maana Papa kwa mara ya kwanza kukanyaga ardhi ya Afrika..aliibusu na kutamka"Bila Africa hakuna ukombozi wa mwanadamu."
He knew alikuwa anafika kwenye milk and honey land aliyosema Mungu agano LA Kale. They know the truth Sema ndio Wamezoea Uongo.... From Gen 13:1 utaona that promise land sifa zake hazifananii na lile jangwa pale north east Africa.
 
Mpumbavu mwenyewe mvivu WA kusoma hata history. But hulazimishwi kufuata ni hiari yako tu.
Letq Historia iliyoandikwa na Vilaza wenzio kina Mangungo tuisome.
Historia unayokomalia imeandikwa na Mzungu alafu unategemea Ikuongoze wewe kututhibitishia Fahari na Asili ya Mtu Mweusi, Ukiacha Hisia utanielewa.
Uafrika ni Error za Uumbaji halikua kusudio kabisa maana Mungu hawezu umba Kiumbe Kipumbavu namna hii.
 
Hakuna kilichoandikwa na Mzungu the oldest Bible iko Ethiopia wakati Hao mababu zako WA kizungu wakiwa kwenye mapango. Na ndio maana walijaribu kuivamia hiyo nchi Mara kibao na silaha kali still hawakuweza maana ndio sehemu pekee iliyobaki ambayo hawakuweza kualter anathing. Wamshukuru mgiriki walipokuja kujifunza Egypt, Ethiopia na Nubia ndio akaamua kustafsrii WA lugha yake then mroma nae akaomba then huyo mzungu WA mwisho akajaa baadae kuweka kwa kingereza ndio akaona Kuna faida akiibadili kwa upande wake but still hakuweza vyote. Na ndo maana mpk kesho anahangaika na historia ya Egypt iwe nyeupe. Maana bila hivyo uongo wake wote utakuwa hauna maana.
Ndio maana jua halinisumbui but wao. Linawasumbua. Because am the ORIGINAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…