Waafrika tujitafute, Ukristo na Uislamu si kwa ajili ya mtu mweusi

Mtu wa kwanza kuwa mkristo ni yule jamaa muethiopia aliyekutwa anasoma gombo la Isaya. Akabatizwa na shemasi Filipo. Hapo siku nyingi sana kabla paulo hajawa mkristo. Wala hajaenda ulaya kusambaza ukristo.
mtu wa kwanza mkiristo? Kwani ukiristo kaanzisha nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…