Mwanafunzi mtoro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 222
- 806
- Thread starter
-
- #81
Kwahiyo nawewe unaamini sasaihivi tupo huru?Wewe kama umesoma hiyo mitazamo yote miwili ilitakiwa uwe na point ya kufanya decision ya usahihi na ukosefu. Huwezi kusema kila mtu abaki na mtazamo wake. Hii siyo dini, hata dini inakosolewa.
Chief alizingua. Ethiopia walipigana kuanzia 1800 mpka 1930s. Yeye alishindwa nini mpka akubali kutoa ardhi na miliki ya watu wake?
Na kama Mangungo alikuwa sahihi maana yake harakati za Uhuru hazikuwa sahihi?
Sawa, nimekupata. Nilitaka nipate uhakika wa hili. Okay poa mjadala uendelee...Mkuu nisamehe kwa kutumia lugha vibaya
Thesis niliyoisemea hapo sijamanisha research proposal au desertion inayowasilishwa na mwanafunz atakae master au PhD.
Nilimanisha ile maana hii
Thesis
a statement or theory that is put forward as a premise to be maintained or proved.
"his central thesis is that psychological life is not part of the material world"
Synonyme: theory, contention, argument, line of argument, proposal, proposition, premise, assumption, presumption, hypothesis, postulation, surmise, supposition, belief, idea, notion, opinion, view, theme, subject, topic, text, matter, theorem
Kwanini mkwawa apigane yeye asipigane? Tuanzie hapo kwanzaKwahiyo nawewe unaamini sasaihivi tupo huru?
Mkuu kuhusu mkata wa mangungo kuchukuliwa Tanganyika yote sio kweliNachopendea ungwini unaweza kuufirimba upendavyo kujenga hoja; hauna kanuni za kueleweka. Kesho wewe mwenyewe au mwingine anaweza akajenga hoja on the same character kuonesha jinsi alivyokuwa mpumbavu na hoja zikakubalika vile vile!
By the way huwa najiuliza how comes mkataba kati ya Chief wa kaeneo kadogo kama Msowero uliepelekea territory kubwa kama Tanganyika iliyokuwa na thousands of chiefdoms kutwaliwa yote na Germans?
Je, wote wiliingia mkenge kama Mangungo? Au mkataba wa Mangungo ulitumiwa na Germans kuonesha machifu wengine "you see, others have surrendered their chiefdoms; you don't have other options but to abide"?
In short, sijawahi kuelewa mkataba wa Mangungo "kuuza" Tanganyika yote.
Hilo nilishalijibu kwenye uzi . Walitofautiana mitazamo . Mangungo alishaona wazungu kama wawekezaji wakati Mkwawa aliwaona kam waporajiKwanini mkwawa apigane yeye asipigane? Tuanzie hapo kwanza
Asante sana kwa ufafanuzi Mkuu. Mbona mikataba ya hizo chiefdoms nyingine haizungumziwi kama ule wa Sultan Mangungo? What was so special with it?Mkuu kuhusu mkata wa mangungo kuchukuliwa Tanganyika yote sio kweli
Naomba niseme hivi
1 mkuu si kweli kwamba mkataba wa mangungo na Peter ndio uliowawezesha kuitawa Tanganyika yote.
2 Mangungo alitoa eneo lake tu na machifu wengine walitoa maeneo yao kwa ridhaa yao na kwa mikataba yao ipo pia kama chifu wa uzingua huko alikopita bwana Peter katika milima ya usambara.
4 Mkataba wa Pita na Mangungo unatumika kama mfano tu ingawa alisainisha machifu wengi kiasi cha kurudi ujerumani na furushi la mikataba.
5 Ndio maana machifu wasio kubali vita ilipiganwa kama Iringa kwa chifu Mkwawa
6 Binafsi siamini kama Mangungo kasaini kitu asichokijua kwasabu hii pia
Kabla kufika Msovero bwana Pita alikuwa masomoni Londoni huko alijifunza pia kingereza. Wakati anafika msovero alifikia Zanzibar ambapo ndipo alipompata mkalimani huyo. Uwezekano wa bwana Ramadhani kujua kiswahi upo kutokana na uwepo wa ushahid wa kimaandishi kuonesha Zanzibar walianza kuongea kiswali tangu karne nyingi nyuma.
Pia uwezekano wa ramadhani kujua kingereza upo kutokana na kisiwa hiko kuwa na uthibitisho wa kutembelewa a watu wa mmataifa mbalimbali.
Hivyo kwa hoja hizi najiridhisha kusema bwana Ramazani alifaham kingereza kutoka kwa Pita na kumtafsiria Mangungo kwa kiswahili.
Na hili linaweza kuwa ndio sababu pita na rafiki yake kufikia Zanzibarkwanza kabla kuja bala kwa kigezo cha lugha.
Ahsante mkuu na twendele kujadiliMkuu, umetuliza akili sana. Huwa najisikia amani sana nikikutana na mtu anayekwenda tofauti na kinachokubaliwa na wengi na bado akaweza kutengeneza hoja inayofikirisha.
Nisaidie kuuona huo ushujaa hapa!Mangungo offers all his territory with all its civil appurtenances to Dr. Karl Peters, as the representative of the Society for German Colonization, for the exclusive and universal utilization for German colonization.
Tangu lini ukoloni ukawa ni uwekezaji?Hilo nilishalijibu kwenye uzi . Walitofautiana mitazamo . Mangungo alishaona wazungu kama wawekezaji wakati Mkwawa aliwaona kam waporaji
Kosa lake ni ubabe wa kipumbavu ukiwa mbabe huwezi kuwa na akili.Angeacha kuvamia mataifa mengine asingepigwaMkuu ulishawaisikia mjerumani anamponda Hittler popote pale?
Bila Hittler Ujerumani ingekuwa shithole kabisaaa
Ipi tofauti baina yao hali wote wanashikilia uchumi wa nchi.Tangu lini ukoloni ukawa ni uwekezaji?
Alikuwa mjinga hujui kusoma wala kuandika unakubali kuingia mikataba ya kijingaKwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli?
Alikuwa na mkalimani wake aliyemsomea,achana na somo la historia lina upotoshi mwingi Sana kwa interest za kina Nyerere na wapigania UHURU wengine waliandika zaidi kuhusu negativeAlikuwa mjinga hujui kusoma wala kuandika unakubali kuingia mikataba ya kijinga
Na swali jingine ni hili: Hawa "wasomi" wetu wanaosaini mamikataba haya mabovu na kuuza madini, gesi na wanyama wetu kwa wazungu nao ni akina Mangungo? Hawajui kusoma na kuandika kama Mangungo?Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli?
Interest na kutoelewa benefits za wawekezajiKwanini mkwawa apigane yeye asipigane? Tuanzie hapo kwanza
Huyo mkalimqni alisoma wapi kijerumani? Mgeni au mwenyeji? Hapa ndipo tu narudi kule kule alisomeshwa tuAlikuwa na mkalimani wake aliyemsomea,achana na somo la historia lina upotoshi mwingi Sana kwa interest za kina Nyerere na wapigania UHURU wengine waliandika zaidi kuhusu negative