Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

Yaani mkuu weye wafurahisha kweli hili barza.

Sasa nikuulize suali, yule bwana Ramadhani ambae alikuwa ni msaidizi wa Calr Peters kazi yake ili kuwa ni ipi ushawishi tu au ?

Je, Chifu Mangungo mwenyewe hakuwa na wasaidizi ambao wangesoma ule mkataba kinagaubaga na kumhakikishia kuwa ulikuwa sawa?

Je, Chifu Mangungo alifahamu kusoma na kuandika?

Je , Uwezo wake kiutawala ulijengwa katika mazingira gani?

Je, himaya yake ilikuwa na uimara kiasi gani pamoja na jamii nzima ya wazaramo?

Je, alisaini mkataba kwa shinikizo (under duress) yaani walazimishwa kusaini mkataba kwa nguvu.?

Kumbuka milima ya Usagara ilikuwa na ardhi yenye rutuba kwelikweli.
 
Waliopiga marufuku bangi walikuwa sahihi.
 
Acha hizo bana weee!! hilo la mikataba ya kilaghai nishalisema sana huko nyuma ila nikuulize Neno ''Mkataba ndo nini kwa mtu ambaye hajaenda shule yako ya kizungu hiyo???''

ile ni janja ya wazungu tu kufanya fujo na walikuwa wanazifanya kweli cha moto walikona!, kure kwetu walikuwa hawakuelewi na zitapigwa tu, si za Dunia hii

hata leo tuko ivo!...usijipendekeze na vikaratasi eti mkataba Mweee!...utayamba kifukuto! afe yeye au ufe wewe! na kweli hapaja chezewa saaana kivile!
 
Waliopiga marufuku bangi walikuwa sahihi.
SIYO una tukana tuuuu jibu swali huyo kilaza wako kafanya nini cha kukumbukwa humu, mbali na ilee kuitangaza TANU Bara na kupata wafuasi wengi!
 
Chini ya sheria zilizopo katika mazingira ya kisheria inotambulika kimataifa, mkataba ni makubaliano yanofuata sheria zilizopo, makubaliano ambayo yatafuata, kueleza na kuongoza haki na wajibu wa kila pande zinoingia makubaliano hayo.

Pande mbili zinoingia makubaliano hayo kabla ya kusaini mkataba, hutakiwa kuwa na akili timamu, kutokuwa katika hali ya kughafirika (under duress) na kutoshinikizwa ama kwa njia ya vijizawadi kama suti na kadhalika..

Hayo ni maelezo ya kwa ufupi lakini wanasheria hapa wapo wanaweza kunirekebisha.
 
Chini ya sheria zilizopo katika mazingira ya kisheria inotambulika kimataifa,
Hivii naongea na mutoto au mutu muzima???, SASA Msovero ilikubalika kimataifa lini/na wapi, miaka hiyo??......hiyo sheria ya Kar peters alizitunga wapi/lini/kwa nini.... na chifu Mangungo??

kureee Berlin cofference Mangungo alipandishwa ndege kuhudhuria ule mukutano mukuu!.......hata kwanza hakuutambua.... nini maana na matokeo ya mukataba ule kama wenzake walivyoitambua........

sasa kwanini mtu km huyo mwenye mikataba ya kijinga km hiyo asipigwe na Mikataba yake hiyo! Hata ningekuwa mimi nakuchapa mpaka ulie pooo!
 
tena mkamsema kabisaa mpaka leo !! mnatamka eti ni ULaghai!! sasa kama ni kweli mnasubiri nini kumshitaki Jermany ya kar peters.... ili mlipwee mipesa kwa niaba ya??
 

Waongea na mmoja wa watu makini sana.

Kumbuka umeniuliza maana ya neno mkataba kwa mtu ambae hajaenda shule, rejea bandiko lako namba 143.

Na nimekujibu maana ya neno mkataba kama ulivyouliza.

Sahau mkataba wa kilaghai alosaini Chifu Mangungo na watawala wengine enzi za ukoloni.
 
Sawa Mkuu binafsi nafuta rasmi kauli ya utoto!..... bali mtu makini!.....Ok! kumbuka mjadala hapa ni kuhusu ''Chief Mangungo wa Msovero''!.......

kuna mahali umesema nisitoke nje ya mada sasa nakukumbusha tena usiende nje ya Mada! Mkataba km Mikataba haina shida, najua mpaka basi!
 
''Mkataba ndo nini kwa mtu ambaye hajaenda shule yako ya kizungu hiyo???''
Na nimekujibu maana ya neno mkataba kama ulivyouliza.
Chini ya sheria zilizopo katika mazingira ya kisheria inotambulika kimataifa, mkataba ni makubaliano yanofuata sheria zilizopo, makubaliano ambayo yatafuata, kueleza na kuongoza haki na wajibu wa kila pande zinoingia makubaliano hayo.
Yaani hata hapo Msovero! pale palikuwa hapajawa hata taifa!....labda ungesema sheria za kijiji/eneo!...sasa utaiwekaje Msovero kwenye level za sheria za kimataifa?

ambazo pia hakuna hata mwana Msovero anaye zielewa?? ...... au mie ndo sielewi?
 
Yaani hata hapo Msovero! pale palikuwa hapajawa hata taifa!....labda ungesema sheria za kijiji/eneo!...sasa utaiwekaje Msovero kwenye level za sheria za kimataifa?

ambazo pia hakuna hata mwana Msovero anaye zielewa?? ...... au mie ndo sielewi?
Ungeliweka uzuri suali lako kama ulikuwa ukiuliza kwa muktadha wa kihistoria.

Weye umeuliza tu maana na neno mkataba na nikakujibu kwa muktadha wa mazingira ya sasa.

Anyway, tuache hii tuendelee na mjadala wa hayati Chifu Mangungo.
 
Ndo umeandika nini hiki chief!!?
 
ulikuwa ukiuliza kwa muktadha wa kihistoria.

Weye umeuliza tu maana na neno mkataba na nikakujibu kwa muktadha wa mazingira ya sasa.
Ukweli ni kwamba ule kamwe haukuwa Mkataba!! wanahistoria mmekosea sana, inafaa tuwawajibishe kwa kitendo hiko, bali ilikuwa ni unyang'anyi. utapeli, na wizi mkubwa wa kijinga jinga hivi!!

Ina tubidi Kizazi hiki tuibadilishe Hostoria yetu ya kale, *(yenye Mrengo wa udhaifu tuiache!) ! ili kuwatia Moyo kizazi kijacho! ....tuandike Mazuri yetu tuu! yenye ushindi km ule wa Mkwawa! Kagera Milambo,Isike, Mangisina nk.....

hakuna sehemu kubwa ambayo wazungu waliandika wazi madhaifu yao ya kulana nyama, wao!kwa wao! kipindi kilee cha Dark ages in Europe! walikuwa na hali mbaya mnoo! ni aibu!

Bali wameandika yale ya ALEXANDER DE GREAT tu!! Baasi... kwani unadhania hakukuwa na Mfalme dhaifu/wajinga some times kuliko hata chief Mangungo? walikuwepo wengi tu lkn ume wahi kuwasikia??

Wazungu walichukua hata mashujaa wetu weusi wengi tu, waliajabisha Dunia wakawabadili wakawa wao Mfano Cleopatra, christopher columbus nk! ni weusi tiiiii!!...

nyie mnaandika usiku na mchana madhaifu ya Mangungo wa Msovero, hata huyo carl peter alitakiwa awe ''Mkali pitia '' ile ya kiswahili ili kuzima umaarufu wa kitapeli wa kizungu!

ukijua wazi kuwa uongo ukizidi sana unageuka kuwa ukweli!.....sasa wanajifanya walichukuwa watumwa na nyie mnashangilia kuuumbe uongo tu! ukweli ni kuwa walichukua vitoto/ke/wagonjwa!! baasi......

.jitu jeusi ni tata bwana weee! ulichukue ukaliuze kirahisi tuu!!...mtu km Li Tyson lile! au Li Idd Amin si lita kunyonga faster tuu! na linakuwowa wazi kabisa na unashukuru kuolewa!,,,(Mangungo ni aibu kwa mweusi!)

wkt sisi weusi tukifurahia maisha mazuri palee Misri ya kale!..wazungu wakashikwa na hasira wakaja kutu vamia Africa ya Misri mpaka leo ni wao! ni miaka 400 tu tuiliyopita!..

kama wazungu walikuwa vizuri kijeshi, kiuchumi, kisiasa kwa nini hawa kwenda Rusia au china?......sisi ndo tulikuwa Bab kubwa matajiri! wakaja africa kuvuruga na mikataba ya kibwege bwege ili kuoneka majinga

sasa walitumaliza kisaikolojia wanaleta story za vilaza hao kina Mangungo! ili tujione Duni! na nyie bila kujua mnashadadia, acheni hizo nitawalipa hela ili muyaache haya ya kulidhalilisha bara africa siwatanii!

tulikula na kunywa makwetu tena wala siyo mbali ni hapo tu Sudani ya kusini!...tulineemeka sana lkn wao hawakuandika hayo mazuri yetu wamepora yamekuwa ni ya kwao!!

na kwambia haya ili ujue kwamba! Watemi/falme/ Rais wale dhaifu wa Tanzania/Africa lote inafaa kuwapotezea kabisa kwa kuwa hawana cha kujifunza kutoka kwao!

(na ndivo walivo fanya Wazungu! mabaya yao wameficha kamwe hutayajua )

wanajipa Ubwana mkubwa wa kuuza/na kununua watumwa/Ukoloni. wkt shule ya watumwa walijifunza kutoka kwetu weusi!! ninasema hivi ujue kuwa

Kwa kumtukuza Chief Mangungo aliye laghaiwa kirahisi vile, bila hata kutia haladari ya neno la kupinga, siyo kitu wala sifa ya kujivunia km weusi wenye asili ya Misri.......ni aibu/udhaifu na ujinga zaidi

kwa vizazi vyetu!..hapo kuandika Matendo na sifa za chifu Mangungo wa Msovero tunazidi kujichimbia kaburi la weusi tulivo wajinga na kumpa Mzungu Carl peter credits zaidi bila ya sisi kujihoji...

Naomba sana! kama mnaweza msimtaje kama kiongozi wa weusi kama itawapendeza! ...Mashujaa wetu km Kinjekitile Ng'wale hao Naaam! watajeni tu wanatutia moyo!

yaani huyu alitumia dhana Rahisi kabisa iliwashangaza wazungu mpaka leo' wakisikia Maji maji War! Mama wee!! wanatafutana! maji tuuu yaliwatoa jasho wazungu haijawahi tokea Duniani!

Ufalme tukikupa ni kupinga na kutetea himaya na masrahi ya watu wako kwa hali na Mali mpaka ufe wewe au wao adui wafe ili jamii yako ikae salama na kulinda heshima yako milele yote;

Sambamba km Nyerere na Ujamaa utashinda! kamwe hakugeuka jiwe! wala hakutizama nyuma waliocheza na ujamaa waliona Moto wa Bluu staki kusema sana hapa unajua tulivo washa moto!

Basi Mangungo wa Msovero alipaswa kuwa km hao... lkn!! maweee! ngoja nakuja...... Mkuu? itika Naam!!?
 
Hii ya mwisho ya kuanzisha rssmi ukoloni Afrika isingefanikiwa bila akina Carl Peters kusafisha njia na kuketi kule Berlin Conference.
Hapo hapo! kwanza Mkuu!! inakuwaje waje kusafisha njia kupitia wapelelezi wa kwanza km kina carl Pters!! Stanley na wenzake!! wakt hao hao! wakoloni

ndiyo walikuwa vinara wa kuchukua na kubeba watumwa kirahisi tu watakavyo?? unapeleleza nini? mahali unapo pajua sana! njia zote chocho zote! na kubeba watu kirahisi tu kama utakavyo???....

Labda wange twambia walikuja tu kukata maeneo yaliyowafaa na kufanya yao!...lkn siyo rahisi kuingia gharama za kulipelele za Bara ambalo tayari wanalijua?? maeneo yao ya kujidai!!

eti sasa tena uje uingie ghrama za kupigana vita upyaa!! kwa ng'ombe wako mwenyewe?? inatia ukakasi sana, haileti mantiki eti ukapepeleze shambani kwako?

Iyo Dhana ya Biashara ya utumwa kwa muda wa mika 400 net! ya utumwa ni changa la macho tu watake wasitake!ndo ivo amukeni!! walee weusi wa USA. Jamaica na Latino America ndo asili yao! wamedanganywa!

wanataka tu!!! kutu chonganisha nao eti tuliwauza kuumbe uongo mtupu! eti wanajifanya wazungu kuwaomba samahani weusi! mweee!
 
Tawie tawie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…