ulikuwa ukiuliza kwa muktadha wa kihistoria.
Weye umeuliza tu maana na neno mkataba na nikakujibu kwa muktadha wa mazingira ya sasa.
Ukweli ni kwamba ule kamwe haukuwa Mkataba!! wanahistoria mmekosea sana, inafaa tuwawajibishe kwa kitendo hiko, bali ilikuwa ni unyang'anyi. utapeli, na wizi mkubwa wa kijinga jinga hivi!!
Ina tubidi Kizazi hiki tuibadilishe Hostoria yetu ya kale, *(yenye Mrengo wa udhaifu tuiache!) ! ili kuwatia Moyo kizazi kijacho! ....tuandike Mazuri yetu tuu! yenye ushindi km ule wa Mkwawa! Kagera Milambo,Isike, Mangisina nk.....
hakuna sehemu kubwa ambayo wazungu waliandika wazi madhaifu yao ya kulana nyama, wao!kwa wao! kipindi kilee cha Dark ages in Europe! walikuwa na hali mbaya mnoo! ni aibu!
Bali wameandika yale ya ALEXANDER DE GREAT tu!! Baasi... kwani unadhania hakukuwa na Mfalme dhaifu/wajinga some times kuliko hata chief Mangungo? walikuwepo wengi tu lkn ume wahi kuwasikia??
Wazungu walichukua hata mashujaa wetu weusi wengi tu, waliajabisha Dunia wakawabadili wakawa wao Mfano Cleopatra, christopher columbus nk! ni weusi tiiiii!!...
nyie mnaandika usiku na mchana madhaifu ya Mangungo wa Msovero, hata huyo carl peter alitakiwa awe ''Mkali pitia '' ile ya kiswahili ili kuzima umaarufu wa kitapeli wa kizungu!
ukijua wazi kuwa uongo ukizidi sana unageuka kuwa ukweli!.....sasa wanajifanya walichukuwa watumwa na nyie mnashangilia kuuumbe uongo tu! ukweli ni kuwa walichukua vitoto/ke/wagonjwa!! baasi......
.jitu jeusi ni tata bwana weee! ulichukue ukaliuze kirahisi tuu!!...mtu km Li Tyson lile! au Li Idd Amin si lita kunyonga faster tuu! na linakuwowa wazi kabisa na unashukuru kuolewa!,,,(Mangungo ni aibu kwa mweusi!)
wkt sisi weusi tukifurahia maisha mazuri palee Misri ya kale!..wazungu wakashikwa na hasira wakaja kutu vamia Africa ya Misri mpaka leo ni wao! ni miaka 400 tu tuiliyopita!..
kama wazungu walikuwa vizuri kijeshi, kiuchumi, kisiasa kwa nini hawa kwenda Rusia au china?......sisi ndo tulikuwa Bab kubwa matajiri! wakaja africa kuvuruga na mikataba ya kibwege bwege ili kuoneka majinga
sasa walitumaliza kisaikolojia wanaleta story za vilaza hao kina Mangungo! ili tujione Duni! na nyie bila kujua mnashadadia, acheni hizo nitawalipa hela ili muyaache haya ya kulidhalilisha bara africa siwatanii!
tulikula na kunywa makwetu tena wala siyo mbali ni hapo tu Sudani ya kusini!...tulineemeka sana lkn wao hawakuandika hayo mazuri yetu wamepora yamekuwa ni ya kwao!!
na kwambia haya ili ujue kwamba! Watemi/falme/ Rais wale dhaifu wa Tanzania/Africa lote inafaa kuwapotezea kabisa kwa kuwa hawana cha kujifunza kutoka kwao!
(na ndivo walivo fanya Wazungu! mabaya yao wameficha kamwe hutayajua )
wanajipa Ubwana mkubwa wa kuuza/na kununua watumwa/Ukoloni. wkt shule ya watumwa walijifunza kutoka kwetu weusi!! ninasema hivi ujue kuwa
Kwa kumtukuza Chief Mangungo aliye laghaiwa kirahisi vile, bila hata kutia haladari ya neno la kupinga, siyo kitu wala sifa ya kujivunia km weusi wenye asili ya Misri.......ni aibu/udhaifu na ujinga zaidi
kwa vizazi vyetu!..hapo kuandika Matendo na sifa za chifu Mangungo wa Msovero tunazidi kujichimbia kaburi la weusi tulivo wajinga na kumpa Mzungu Carl peter credits zaidi bila ya sisi kujihoji...
Naomba sana! kama mnaweza msimtaje kama kiongozi wa weusi kama itawapendeza! ...Mashujaa wetu km Kinjekitile Ng'wale hao Naaam! watajeni tu wanatutia moyo!
yaani huyu alitumia dhana Rahisi kabisa iliwashangaza wazungu mpaka leo' wakisikia Maji maji War! Mama wee!! wanatafutana! maji tuuu yaliwatoa jasho wazungu haijawahi tokea Duniani!
Ufalme tukikupa ni kupinga na kutetea himaya na masrahi ya watu wako kwa hali na Mali mpaka ufe wewe au wao adui wafe ili jamii yako ikae salama na kulinda heshima yako milele yote;
Sambamba km Nyerere na Ujamaa utashinda! kamwe hakugeuka jiwe! wala hakutizama nyuma waliocheza na ujamaa waliona Moto wa Bluu staki kusema sana hapa unajua tulivo washa moto!
Basi Mangungo wa Msovero alipaswa kuwa km hao... lkn!! maweee! ngoja nakuja...... Mkuu? itika Naam!!?