Tuna tatizo kubwa sana pale tunapo kosea kufikiria ni wapi pa ktupia lawama, kusingizia, kubana ukweli, kuwapa kesi wanaoanika ukweli, n.k.
Na hata pale kila kitu kinapokuwa wazi tunakimbilia kuomba misamaha ya sinema huku mambo yale yale yakirudiwa.
Kitu pekee kinachoweza kutulinda ni sheria kali za kuwabana wakosaji lakini na wao hutumia nguvu kubwa sana kulegeza sheria zisiwaguse