The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Dah,hakika inaumiza sana. Hata hivyo binti kajitahidi kujikaza kwa umri wake angeweza kuangusha kilio.Mtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica...
Mkuu umenena vyema, acha tule matunda ya kile tulichopanda. Ubinafsi ndio unaotuua waafrika.Ni kweli huko nje tunabaguliwa sana na hata kutupiwa maganda ya ndizi. Lakini msiba mkubwa zaidi ni yale tunayotendeana sisi kwa sisi. Hatujaliani. Ubinafsi wa kinyama. Ni kila mtu na tumbo lake, familia yake na marafiki zake...
Best post ever.Ni kweli huko nje tunabaguliwa sana na hata kutupiwa maganda ya ndizi. Lakini msiba mkubwa zaidi ni yale tunayotendeana sisi kwa sisi. Hatujaliani. Ubinafsi wa kinyama. Ni kila mtu na tumbo lake, familia yake na marafiki zake....
Thread closedNi kweli huko nje tunabaguliwa sana na hata kutupiwa maganda ya ndizi. Lakini msiba mkubwa zaidi ni yale tunayotendeana sisi kwa sisi. Hatujaliani. Ubinafsi wa kinyama. Ni kila mtu na tumbo lake, familia yake na marafiki zake.
Fisadi mmoja anapoamua kukwapua mabilioni (na sasa tunaambiwa mpaka matrilioni ya shilingi) huku wananchi wenzake hawawezi kumudu hata mlo mmoja kwa siku; na wanaweza hata kukata roho kwa kukosa dawa ya kununua Aspirin huwa ni nini kama siyo unyani wetu na ubinafsi wa kihayawani? Kwa nini tunashangaa tukibaguliwa na hawa wazungu kama sisi kwa sisi tunatendeana unyama huu?
Halafu angalia tunavyojidharau. Utamaduni wetu hatuna. Dini zote za kuletewa. Lugha hali kadhalika. Hata rangi hii nyeusi kusema kweli hatuitaki. Yaani tupo tupo tu kama wasindikizaji hapa duniani.
Hili la kubaguliwa huko nje mimi wala halinishangazi (wala kunihuzunisha) kivile [emoji51]
View attachment 2762699
Mfano huyo mtoto amejibagua vipiNgozi nyeusi hujibagua zenyewe kabla ya kubaguliwa
Hizo ni Chuki Mkuu,jaribu kuwa Moyo wa huruma hata kwa usiowajuwa utakuwa Blessd.Tatizo wakifika huko huwa wanatuona Sisi tuliopo bongo kama manyani Acha wabaguliwe tuu
Wabadrike Kwanza , mtu anatupiwa ndizi huko alaf akija huku anatuona Sisi wote hatujastarabika, yaani back anawaona wazungu na tamaduni zao kuwa wa maana ,Hizo ni Chuki Mkuu,jaribu kuwa Moyo wa huruma hata kwa usiowajuwa utakuwa Blessd.
Unatakiwa ufahamu kuwa chanzo cha ubaguzi wowote ule huwa ni HOFU; hofu inayotokana na aidha inferiority complex au superiority complex. Hivi viwili vyote huwa vinatokana na hofu na huwa vipo kwa mtu yule tu ambaye hayuko sawasawa kichwaniMtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica.
Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. .. huko nje hatupendwi hata kidogo
View attachment 2762688
Sisi wengine tulisha ishinda iyo Khali tukibaguliwaga ni kama unatupa NEGATIVE MOTIVATION YA KU SUCCEED IN DIFFERENT ENVIRONMENT OCCASION & LIFEMtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica.
Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. .. huko nje hatupendwi hata kidogo
View attachment 2762688
Futa kauli classmate ☺️☺️Ngozi nyeusi ni laana
Futa kauli classmate [emoji3526][emoji3526]