STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Subir waje malgbtq utaona yanavyotetea ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa najiuliza ivi Waafrica wanao kimbilia Nchi za ulaya na Uarabuni wako timamu kweli?? Wananyanyasika na kudharauliwa kama wanyama, lakini bado wameng'ang', ania kukaa huko.Mtoto mweusi arukwa Kavalishwa medali mbele ya camera. Imagine what is happening behind the camera? hawa watu wa nje wanatubagua sana waafrica.
Ndo maana Magufuli alisema tupende n vya kwetu. .. huko nje hatupendwi hata kidogo
View attachment 2762688