Waafrika tunabaguliwa sana. Tupende vya kwetu. Mtoto huyu ilivyonyanyapaliwa

Huwa najiuliza ivi Waafrica wanao kimbilia Nchi za ulaya na Uarabuni wako timamu kweli?? Wananyanyasika na kudharauliwa kama wanyama, lakini bado wameng'ang', ania kukaa huko.

Kuna wengine hasa Africa Magharibi na Kaskazini kila mwezi lazima wazame na boat, kisa wanavuka bahari kuingia ulaya! Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…