Dini ni Utapeli, sema wazee na mababu zetu walikuwa wajinga sanaJana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni yeye mwenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila nilisoma comments nyingi sana, watu wanasupport walichosema hao vijana
View attachment 3663772
Leo nimekutana na post ya hapa nyumbani kwetu Tanzania. Ni kama utani tu, Mtu amepost "Yani nichomwe moto kwenye maisha ambayo sikuomba kuzaliwa, aisee kitawaka sana uko mbinguni"
Ukizama kwenye comments Watanzania hawaogopi kukufuru, watu wanatype mambo ambayo dini zimekuwa zikitukataza for years, ila wanatype bila woga na wanajoke na mambo ya Mungu
Of course kwa huku Tanzania bado wapo watu wengi wa dini walikuwa wanajaribu kutisha watu comment section lakini majority wanaonekana kusupport.
Watu wameshagundua dini ni unafiki mtupu
Itafika hatua watu wengi watazipuuza kabisa, hata leo hii watu wanaenda msikitini na makanisani ili jamii isiwaone mashetani, ila ile imani kali ya dini na Mungu kwa watu wengi imeshaanza kufutika
View attachment 3663779
View attachment 3663773View attachment 3663774View attachment 3663775View attachment 3663776View attachment 3663777View attachment 3663778
Hizi dini bila kutisha tisha watu kama hivi zisingepata wafuasiDunia ya sasa inawapinga Kristo wengi kwasababu ni kizazi cha zinaa. Lakini Mungu alishasema mlango wa kuingia ufalme wake ni mwembamba wanaingia watakatifu tu huku wengine wanaobaki ni katika ziwa likalo moto na kiberiti.
Ni utapeli mkubwa mno. Kwanza zinatumia fear za watu kuwamanipulate. Zinaeleza jinsi Mungu alivyo katili na atakavyowachoma wasiomuamini bila huruma katika moto wa milele. Ili kuepuka ukatili wa Mungu ndio watu wakawa wanajoin dini. Hadi leo wafia dini wanamuogopa Mungu vibaya mno, wanajua show yake. Mzee wa death and destruction, hana utani na mtuDini ni Utapeli, sema wazee na mababu zetu walikuwa wajinga sana
Utapeli wa wazi uko katoliki, eti hulipi michango huendi jumuiya hawakuziki! Hiyo michango iliyoko RC hawana ht haya. Njoo kipaimara sijui komunyio, ubatizo hakuna Mungu wa namna ile. Wakati huo sijawahi ona padre au askofu akiombea wagonjwa, wenye matatizo, sijaona padre wala askofu anayekemea mapepo. Kule wamejaa wachawi, washirikina na wenye kila aina ya ubaya! Sasa ng'ombe ndiyo wamejaa mule. Katoliki ni himaya ya kiutawala inayoishi kilaghai, ni ile ile Roman Empire inatumia mbinu nyingine ya kuitawala dunia, ndiyo maana mapadre na maaskofu wa kanisa katoliki hasa kwa nchi za Africa ni kutunishiana misuli na serikali kwa maana wana wafuasi. Na kumbuka mtaji mkubwa hapa duniani ni kuwa na watu. Hakuna Mungu pale ndiyo maana unatoka km ulivyoingia, sana sana unatoka na ngeu za michangoJana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila nilisoma comments nyingi sana, watu wanasupport walichosema hao vijana
View attachment 3663772
Leo nimekutana na post ya hapa nyumbani kwetu Tanzania. Ni kama utani tu, Mtu amepost "Yani nichomwe moto kwenye maisha ambayo sikuomba kuzaliwa, aisee kitawaka sana uko mbinguni"
Ukizama kwenye comments Watanzania hawaogopi kukufuru, watu wanatype mambo ambayo dini zimekuwa zikitukataza for years, ila wanatype bila woga na wanajoke na mambo ya Mungu
Of course kwa huku Tanzania bado wapo watu wengi wa dini walikuwa wanajaribu kutisha watu comment section lakini majority wanaonekana kusupport.
Watu wameshagundua dini ni unafiki mtupu
Itafika hatua watu wengi watazipuuza kabisa, hata leo hii watu wanaenda msikitini na makanisani ili jamii isiwaone mashetani, ila ile imani kali ya dini na Mungu kwa watu wengi imeshaanza kufutika
View attachment 3663779
View attachment 3663773View attachment 3663774View attachment 3663775View attachment 3663776View attachment 3663777View attachment 3663778
Huo ni ushahidi kuwa Biblia ni ya kweli na kwamba hizi ni siku za mwisho. Mambo hayo yaliishatabiriwa miaka 2000+ iliyopita kuwa yatatokea siku za mwisho.Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila nilisoma comments nyingi sana, watu wanasupport walichosema hao vijana
View attachment 3663772
Leo nimekutana na post ya hapa nyumbani kwetu Tanzania. Ni kama utani tu, Mtu amepost "Yani nichomwe moto kwenye maisha ambayo sikuomba kuzaliwa, aisee kitawaka sana uko mbinguni"
Ukizama kwenye comments Watanzania hawaogopi kukufuru, watu wanatype mambo ambayo dini zimekuwa zikitukataza for years, ila wanatype bila woga na wanajoke na mambo ya Mungu
Of course kwa huku Tanzania bado wapo watu wengi wa dini walikuwa wanajaribu kutisha watu comment section lakini majority wanaonekana kusupport.
Watu wameshagundua dini ni unafiki mtupu
Itafika hatua watu wengi watazipuuza kabisa, hata leo hii watu wanaenda msikitini na makanisani ili jamii isiwaone mashetani, ila ile imani kali ya dini na Mungu kwa watu wengi imeshaanza kufutika
View attachment 3663779
View attachment 3663773View attachment 3663774View attachment 3663775View attachment 3663776View attachment 3663777View attachment 3663778
Dini inakuwa muhimu kwao pale tu inapokidhi fikra zao.Watu wamesha sanuka kuwa DINI ni Uongo na Utapeli.
Halafu Wa Africa sio kwamba wamezipuuza Dini. Ni pale inapowagusa wao wanakataa, mbona Kila siku Ushoga wanapinga kupitia hizo hizo Dini. LOL
ππππ
Patachimbika namna gani wakati siku hiyo utakuwa umepiga magoti na kutetemeka mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.Patachimbika siku hiyo.
Mmeambiwa na nani ?Tumeambiwa YESU hatorudi hadi uasi utokee kwanza.
So this is good news! ! ! Muokozi wenu Mpinga Kristo amekaribia kufunuliwa!
"Mtu yeyote asiwadanganye kwa namna yoyote kwa maana siku ile haitakuja hadi uasi utokee kwanza, na yule mtu wa kuasi adhihirishwe, yule ambaye amehukumiwa kuangamizwa kabisa."
2Wathesalonike.2.3.BHN
BWANA YESU amekaribia! ! !
JESUS IS LORD!
MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS! ! ! π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Wataenda Jannah Al-Firdaus kwenye mbingu ya Waislamu.Patachimbika namna gani wakati siku hiyo utakuwa umepiga magoti na kutetemeka mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.
"Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu." (Rum 14:11).
Hata hivyo itakuwa too late, kupiga kwako magoti hakutakusaidia. Siku hiyo wote wanaomkataa Yesu sasa wataambiwa hivi:
β...Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika wake (Mt 25:41)