Sawa mkuu, kwanza kabisa mimi sipo kubishana hapa bali nipo kupokea elimu kutoka kwenu wadau kutokana na msingi wa swali toka awali.Mkuu vizuri, basi naomba uwe tayari kuelewa na sio kubishana.
Naomba tuende kwenye mzizi wa tatizo elimu, uchumi, sayansi mbovu kwa watu weusi
ni matokeo ya mda mrefu sana.
Tuaanzie kwenye kipengele cha IQ.
ni kweli muafrika akipelekwa katika mazingira sawa yaani shule anayosoma mzungu na muafrika
akasoma hapo, muafrika atakuwa wa mwisho!?
Naomba twende kwa mfumo wa swali na jibu
AsanteWazungu wana IQ ndogo sana
Wasalaam wana JF Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana. Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na...www.jamiiforums.com
Ukiulizwa jibu, sio kujifanya Usain Bolt.Mkuu wewe si umeona huu mjadala hauku fai ya nini sasa kusumbua wengine walio tenga muda wao kwa ajili ya hili swali ?
Ngoja nimjaribu nikishagudundua ni mpumbavu naachana naeMkuu una energy. Huyo ana majibu yake tayari hata umueleze vipi sijui kama atakubali
No 1 na 4 vinakinzana.1. Hatupendani
2. Umimi.
3. Uzalendo haupo
4. Undugu nization umetamalaki.
Unaamini muafrika akienda kusoma shule ya wazungu atakuwa wa mwishoSawa mkuu, kwanza kabisa mimi sipo kubishana hapa bali nipo kupokea elimu kutoka kwenu wadau kutokana na msingi wa swali toka awali.
Karibu.
Ila wazungu wenyewe wanasema kuwa binadamu wa kwanza ametokea Africa.Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
Tutafika hata na zaidi ya hapo, ukizoea kusaidiwa akili inashindwa kufanya kazi vizuri kwa kuwa unajua yupo wa kuumiza akili kukusaidiaTuki katiwa misaada tutafika walipo wazungu na waasia ?
Mkuu iko hivi tunalingana kila kitu na wazungu, sisi tulicho wazidi tunaviongoziIQ ndogo ki vipi sija kuelewa hapo ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye msafara wa mamba ( wazungu ) kenge ( afrika ) hawakosi full stop
Thread close
Kwani hao viongozi wa hovyo tulio nao wanatokea wapi ? Na hao viongozi bora walio nao wazungu na waasia wana tokea wapi ?Mkuu iko hivi tunalingana kila kitu na wazungu, sisi tulicho wazidi tunaviongozi
wa hovyo.
Chukua nchi zote zilizoendelea linganisha viongozi wake na wetu.
Wazungu wanapigania race yao sisi tunapigania matumbo na familia zetu.