ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu, kwanza kabisa mimi sipo kubishana hapa bali nipo kupokea elimu kutoka kwenu wadau kutokana na msingi wa swali toka awali.Mkuu vizuri, basi naomba uwe tayari kuelewa na sio kubishana.
Naomba tuende kwenye mzizi wa tatizo elimu, uchumi, sayansi mbovu kwa watu weusi
ni matokeo ya mda mrefu sana.
Tuaanzie kwenye kipengele cha IQ.
ni kweli muafrika akipelekwa katika mazingira sawa yaani shule anayosoma mzungu na muafrika
akasoma hapo, muafrika atakuwa wa mwisho!?
Naomba twende kwa mfumo wa swali na jibu
Karibu.