Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

Kwani hao viongozi wa hovyo tulio nao wanatokea wapi ? Na hao viongozi bora walio nao wazungu na waasia wana tokea wapi ?

Karibu.
Nimekuambia mzungu anawaza race yake sisi tunawaza matumbo na familia zetu
labda niiweke hivyo ikitokea kiongozi/muafrikai hafanyi hivyo hiyo ni abnormal
 
Kovu la Utumwa haliwezi kupona Vizazi hadi Vizazi,
Wakulaumiwa ni Watawala wa Kiafrika waliokubali kuwauza watoto wa wenzao na kupelekwa utumwani,
Na Kovu hili linaikumbuka hata wasio wa Afrika kwa maana ya watu weusi, wanalipia makovu ya utumwa,

Jamii ya Mtu mweusi imepandikizwa mbegu ya kujiona ni dhalili, duni na isiyo na thamani, kwa hiyo inaishi ikipambana na hayo badala ya kufanya mambo mengine makubwa, ni jamii iliyokataliwa popote Duniani,

Kuna Mwaka mmoja Waafrika waliuliwa sana Nchini Israel na Waziri Mkuu wao alisema Mtu mweusi ni kama Kansa akiingia lazima akatwe haraka kabla hajasambaa,

Utaona jinsi Mtu mweusi hakubaliki.
 
Uoga
Uvivu wa kufikiri
Ubinafsi
Na kukubali kutumika
 
Duuuh! hatari . Sasa tufanye nini ili kutoka huko na sisi kuanza kukimbizana na dunia.
 
Nimeishi Hungary na Austria (ulaya) pia nimepitapita India ,china na Bangladesh...ni nchi za kawaida sana..wengine wanatuona sisi waafrica tupo gifted sana. ... Na hii Mimi nimeithibitisha Kwa:-
1: wachezaji football Europe na Asia wengi ni ngozi nyeusi..
2: wasanii wakubwa wa mziki na filamu asilimia nyingi ni blacks..
3: Wanariadha wengi ni blacks
4: maprofessor katika vyuo vikuu vya ulaya na marekani wamejaa blacks...hakuna chuo hata kimoja ulaya kisichokuwa na black lecturer..
5: hata hao wachina mnaowapa tenda za barabara tz mara nyingi blacks ndio wapo site..wachina wanashinda wanavuta sigara tu...
CHA MSINGI WAAFRICA WAJIKUBALI
 
Unaifahamu China mkuu katika dunia ipo wapi? chukua nchi zote za Afrika kwa pamoja Je, tuna ifikia hiyo China kwa criteria yoyote ile ?
 
SWALI
Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia?
Kwenye youtube kuna series kuhusu slavery na watu weusi vs weupe za Thomas Sowell, hebu jaribu kuzicheki ni nzuri sana na zitakusaidia kukupa hilo jibu lako.
 
Kwenye youtube kuna series kuhusu slavery na watu weusi vs weupe za Thomas Sowell, hebu jaribu kuzicheki ni nzuri sana na zitakusaidia kukupa hilo jibu lako.
Asante mkuu kwa kunipa elimu hii ya bure, wacha nili fuatilie hili swala.
 
Sababu kubwa ni kuwa Sisi ni kenge kwenye msafara wa Mamba(wazungu).
Mungu katuumba na low IQ sana hata kama humu tunajiita ma GREAT THINKER.
Kuna uwezekano mkubwa Plan ya Mungu amuumbe binadamu Mzungu sisi tumetokeza tu.
Jitafakari upya bro,,
Samaki ukimpa mtihani wa kupanda mti akishindana na kenge,basi samaki atajiona hawezi,fala,mkosaji,akili ndogo n.k
Sisi Waafrika tulichezewa mchezo na huo mchezo ndo unatutesa hadi leo!!
 
Jitafakari upya bro,,
Samaki ukimpa mtihani wa kupanda mti akishindana na kenge,basi samaki atajiona hawezi,fala,mkosaji,akili ndogo n.k
Sisi Waafrika tulichezewa mchezo na huo mchezo ndo unatutesa hadi leo!!
Mchezo gani mkuu ?
 
DINI za kuletewa. Ujinga wote wa Waafrika unatokana na hizi dini za kuletewa, tunadanganywa na kuabudu wazungu na waarab tunajidharau sisi wenyewe wakati sisi ndiyo tulikuwa powerful people back in the days ila wakaja hawa watu kuja kutuaminisha ujinga usio na ukweli wowote tukaja kujidharau wenyewe tukiwaabudu wao.
 
Kabla sijakoment naomba hili tuliweke katika point zakuzifanyia kazi. Tunefungamna mnoo na nature kupita maelezo.. Tunamsubir mungu kila kitu
 
Kwa hiyo tuki achana na dini za ng'ambo na kurejea za mababu tutakuwa tuna kimbizana na wazungu na waasia katika mambo mbalimbali.
 
Civilization ilianzia Africa, wathungu wanatuambia ni Misri lakini siwaamini hawa wadhungu, kuna Mansa Musa ambaye ni wakwanza kuanzisha University wa Mali emperor!
Lakini sasa tuna jikuta sisi ndio hatujui na hawa wanaojiita Dunia ya kwanza wadhungu Ndio wanatuendesha kama gari bovu!
Shida kubwa tunaiona vividly jinsi tunavyo jichukia wenyewe kwa wenyewe na kuwainua watu weupe, tuna chukia nchi zetu!
Mfano mkubwa pia walibya walivyo muua Ghadafi, kiini kikubwa kabisa alikuwa anataka kuiondoa American Dollar na kuweka Gold!
Badala yake akauwawa na sasa wana nchi wake wamekuwa mamalaya wa Dunia!
Kitu kikubwa ni Upendo kwa mwafrika mwenzako na nchi zetu za Africa!
Kuombea kwa juhudi nchi yetu kama vile tunavyo ombea nyumba zetu!
Mwenye Enzi Mungu ibariki Tanzania [emoji1241] na watu wake na Africa yote kwa ujumla!
 
Mtazamo wa haraka ni kwamba, sio kwamba wenzetu hawa wana IQ kubwa kutushinda, la hasha. Isipokuwa, wenzetu hawa wanapangilia mambo yao tofauti na sisi. Kwa mfano: mtu (mzungu) anagundua anajua sana kitu fulani (mathalani ufundi cherehani), atajibidisha huko na kuwa expert kwenye eneo hilo. Tofauti na sisi, mtu anataka ajuwe vitu vingi kwa wakati mmoja; hii itamfanya asijuwe kwa undani jambo lolote, kwani kuyashika yote ni vigumu, hata uwe na IQ kubwa kiasi gani. Hapo ndio wanapotupiga bao wenzetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…