Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Bila kuegemea upande wowote, cha kujiuliza tuhuma zenyewe zina ushahidi wenye mashiko na ukweli?, binafsi sijaangalia hizo documentary za bbc

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni kama tuhuma za unyajyasaji wa kingono ulioganywa na makasisi wa kanisa katoliki. Kanisa lilificha ukweli miaka, mpaka Papa Francis aka kubali, kesi zinaenda mahakamani, na kuna watu wazima walikuwa wanaotoa ushahidi jinsi walivyonyanyaswa walivyokuwa wadogo . Kwa hiyo watu wasibishe tu kwa kufuata mkumbo maana kilichokuwa kinafanyika nyuma ya pazia hatukijui zaidi ya wahanga
 
TB JOSHUA HAKUNA ANAYEFOKA ILA NI UKWELI UNAAMBIWA.
ISHU SI WAZUNGU ISHU NI TB JOSHUA MDHALIMU, MALAYA, MBAKAJI KUKIFICHA KATIKA KIVULI CHA DINI AT YEYE MTUKUFU.

MUDA NI MWALIMU MZURI TULIONA WENGI KAMA HAO MATAPELI.
TB JOSHUA ALIKUWA GAIDI ,
YESU ALISEMA KUWENI MACHO WATATOKEA MANABII FEKI ALIYEKUWA AKIMSEMEA NDIO HUYU TUNAONA UCHAFU WAKE.

KUPINGA HILO NI KUMPINGA YESU NA WEWE MI MPINGA KRISTO NAMBA MOJA
T
 
Ushahidi gani walioutoa

Umeona hao mashahidi wenyewe?

Siku zote wanawake wakizungu wakikosa pahali pa kugawiwa pesa, wanalazimisha kwa kurusha na kutoa tuhuma.

hovyo kabisa

Hao wazungu walikuwa wahudumu wake. Fuatilia vizuri.
 

Dini ya kishetani unaijua?. Kwa hivyo Anglican ni dini ya kishetani?. Usipende kigeneraliza mambo kwa hisia
 
Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leo hii mke wake TB kashika usukani wamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao na nye nye nye kibao

This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful. Hovyo

Kwa hivyo unakiri TB Joshua alikuwa mzinzi?.
 
Mwamposa aliua watu ila watu walimtetea na bado wanajipeleka. Religion is the opium of the people.
 
Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leo hii mke wake TB kashika usukani wamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao na nye nye nye kibao

This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful. Hovyo
Hadi binti yake?
 
Aljazira wangetoa wa hyo documentary usinge panga

Mwisho manabii wote hao ni matapeli

Ova
Siangalii hiyo Aljazeera zaidi ya miaka 10 ..Huo mda kifupi sina..

Nafuatilia majarida tu makubwa kama Bloomberg na forbes.
 
Hapo yesu itakuwa alikosea bana hakuna nabii wa uongo watu wamefanya miujuza tukashuhudia anakuaje nabii wa uongo?

Punguza upotoshaji. Ukijua kazi ya Nabii ni ipi ndio utajua manabii waliopo ni waongo wote.
 
TB joshua anafilisiwa tupo hapa mtaona hiyo ndio timing yake , inaonekana ana mali mpaka ulaya maana alikuwa njema kweny pesa.

Hizi ndio njia wanazotumia hata kukamata baadhi ya viongozi waliotoka madarakani.
 
Watu huyobtulimjuwa ni tapeli way back
Naona kuna watu humu bado wanaamini tp Joshua alikuwa anafanya miujiza

Ova
 

Mackenzie bado ana kesi hawawezi kumuingizia uchunguzi. Kuhusu mitume na manabii muda ndio huongea. Hata hapo Kenya jicho pevu alipigwa vita Sana ila mwisho wa siku ukweli ukajulikana. Hivyo TB Joshua muda wake umefika
 
Watu huyobtulimjuwa ni tapeli way back
Naona kuna watu humu bado wanaamini tp Joshua alikuwa anafanya miujiza

Ova
Ni ujinga wa hali ya juu.

Ni moja ya sababu Africa kuendelea kiuchumi inakuwa vigumu sana.

Watu wengi wanapenda sana miujiza, uchawi, shortcuts za kijinga.

Ujinga na uvivu mtupu.
 
Haya tuachane na Nigeria turudi hapa kwetu na huyu wa kwetu
Una amini anafanya miujiza
Kuponesha vilema,vipofu wanaona nk

Ova
 

BBC wameshatoa ushahidi na wewe toa ushahidi wako kiwapinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…