Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Waafrika waungana kuishambulia BBC mitandaoni. Kweli nimeamini dini ni kitu hatari zaidi ya bomu la nyuklia

Bila kuegemea upande wowote, cha kujiuliza tuhuma zenyewe zina ushahidi wenye mashiko na ukweli?, binafsi sijaangalia hizo documentary za bbc

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni kama tuhuma za unyajyasaji wa kingono ulioganywa na makasisi wa kanisa katoliki. Kanisa lilificha ukweli miaka, mpaka Papa Francis aka kubali, kesi zinaenda mahakamani, na kuna watu wazima walikuwa wanaotoa ushahidi jinsi walivyonyanyaswa walivyokuwa wadogo . Kwa hiyo watu wasibishe tu kwa kufuata mkumbo maana kilichokuwa kinafanyika nyuma ya pazia hatukijui zaidi ya wahanga
 
Sasa unafokafoka nini. Punguza kelele.

Leo mnajidai mnajali maisha ya watu wa Nigeria? Afrika? Since when?

Tulia.

Punguza ukasuku. Unapiga makelele kama HN Unafikiri ukiwa unatusi hivyo ndio unatoa point?

Utapigishwa deki tu kwa Wazungu wakimaliza kukutumia. Tulia.
TB JOSHUA HAKUNA ANAYEFOKA ILA NI UKWELI UNAAMBIWA.
ISHU SI WAZUNGU ISHU NI TB JOSHUA MDHALIMU, MALAYA, MBAKAJI KUKIFICHA KATIKA KIVULI CHA DINI AT YEYE MTUKUFU.

MUDA NI MWALIMU MZURI TULIONA WENGI KAMA HAO MATAPELI.
TB JOSHUA ALIKUWA GAIDI ,
YESU ALISEMA KUWENI MACHO WATATOKEA MANABII FEKI ALIYEKUWA AKIMSEMEA NDIO HUYU TUNAONA UCHAFU WAKE.

KUPINGA HILO NI KUMPINGA YESU NA WEWE MI MPINGA KRISTO NAMBA MOJA
T
 
Ushahidi gani walioutoa

Umeona hao mashahidi wenyewe?

Siku zote wanawake wakizungu wakikosa pahali pa kugawiwa pesa, wanalazimisha kwa kurusha na kutoa tuhuma.

hovyo kabisa

Hao wazungu walikuwa wahudumu wake. Fuatilia vizuri.
 
Charles wa Uingereza ni kiongozi wa Dini. Dini ya kishetani.

Mizezeta ya Uingereza haisikii lolote, huwaambii lolote, unafikiri kwanini?

Yatoke kwao kwenda Nigeria kutafuta nini kama sio kwrnda kuanzisha taharuki?

Anyways, ni tabia iliyo ndani ya damu zao. Kila wakati akitokea kioo wa Mwafrika, wao huja na Character assasination. There is no coincidence.

Dini ya kishetani unaijua?. Kwa hivyo Anglican ni dini ya kishetani?. Usipende kigeneraliza mambo kwa hisia
 
Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leo hii mke wake TB kashika usukani wamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao na nye nye nye kibao

This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful. Hovyo

Kwa hivyo unakiri TB Joshua alikuwa mzinzi?.
 
Mwamposa aliua watu ila watu walimtetea na bado wanajipeleka. Religion is the opium of the people.
 
Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leo hii mke wake TB kashika usukani wamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao na nye nye nye kibao

This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful. Hovyo
Hadi binti yake?
 
Aljazira wangetoa wa hyo documentary usinge panga

Mwisho manabii wote hao ni matapeli

Ova
Siangalii hiyo Aljazeera zaidi ya miaka 10 ..Huo mda kifupi sina..

Nafuatilia majarida tu makubwa kama Bloomberg na forbes.
 
Hapo yesu itakuwa alikosea bana hakuna nabii wa uongo watu wamefanya miujuza tukashuhudia anakuaje nabii wa uongo?

Punguza upotoshaji. Ukijua kazi ya Nabii ni ipi ndio utajua manabii waliopo ni waongo wote.
 
Zamani sana niliacha pia kuamini habari zao.
Jamaa wanabase upande mmoja.

Nadhani ni mtindo wao wa kutaka kufatiliwa zaidi. Maana kama hawajakudaka kwenye kumnanga TB Joshua basi watakudaka kwenye kuinanga katoliki, wakikukosa huko watawananga waislam, waafrica au raisi anaependwa sana nk.
TB joshua anafilisiwa tupo hapa mtaona hiyo ndio timing yake , inaonekana ana mali mpaka ulaya maana alikuwa njema kweny pesa.

Hizi ndio njia wanazotumia hata kukamata baadhi ya viongozi waliotoka madarakani.
 
Ukijiingiza kwenye information war ya identity crisis, kunakuwa na facts na wanaopinga facts kwa sababu yabidentity.

Kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa "cognitive dissonance". Hii hali hutokea pale mtu anapoonabukweli unapingana na imani yake, lakini anaendelea kushikilia imani yake na kupingana na ukweli.

Kwa mfano, mtu anatoka Mwenge Dar es salaam, anataka kwenda Kariakoo Dar es salaam. Lakini badala ya kuelekea kusini, anaelekea kaskazini, anapita Lugalo, anapita Kawe, anapita Tangi Bovu, anapita Africana, anapita Tegeta, anaanza kuona kama anakoenda siko, lakini anajipa moyo kwamba anaelekea upande sawa, soko la Kariakoo liko mnele kidogo tu hapo, after all, ameshasafirinumbali mrefu sana, lazima soko litakuwa karibu.

Kumbe anaelekea upande tofauti na kila anavyozidi kusafiri ndivyo anavyozidi kuliacha soko la Kariakoo mbali zaidi.

Watu wengi wanapinga ripoti za BBC kwanza bila hata kuangalia hizo video. Wanapinga kwa "identity war" tu. Ni kama mtu akimshambulia baba yako na kumuita mjinga, unaweza kupigana naye bila kujali kwamba alichosema ni kweli au la.

Hawa watu wengi wanaona baba yao TB Joshua kashambuliwa, wanaishambukia BBC. Identity war tu.

Ukifuatilia zile video, wale watu walivyoongea, walivyo wengi, walivyotoka nchi nyingi, mpaka mtoto wa TB Joshua alivyosema, jinsi TB Joshua alivyokuwa ana fake mirackes tangu zamani tunavyojua, jinsi alivyokuwa mtu wa kutafuta shortcuts mpaka akajenga ghorofa lililoanguka, jinsi alivyozuia waokoaji wasiokoe watu, jinsi wafuasi wake wa karibu walivyokubali madudu aliyoyafanya, jinsi mpaka serikali ya Nigeria ikivyokubali TB Joshua kajenga jumba kiholela.

Utaona kuwa only a fanatic fighting identity war with cognitive dissonance would defend TB Joshua.

This is identity war fueled by cognitibe dissonance.

TB Joshua tulimjua ni tapeli siku nyingi tu, kabla BBC hawajammulika.

BBC wamejazia nyama tu kwenye skeleton kwa expose yao.
Watu huyobtulimjuwa ni tapeli way back
Naona kuna watu humu bado wanaamini tp Joshua alikuwa anafanya miujiza

Ova
 
HABARI ZA TB JOSHUA NAZIONA KWENYE SURA MBILI.
1. TAARIFA HIZI ZIMEKUJA KUPOTEZEA TAARIFA ZA PAPA KURASIMISHA NDOA ZA MASHOGA KWENYE KANISA LAKE.
2. SASA TUCHUKULIE TUHUMA HIZI NI ZA KWELI, AFUFULIWE? ASHITAKIWE?
JE KWA NINI SASA NA SI KIPINDI ALIPOKUA HAI?
ETI MTU ANA KWENDA KANISANI ANABAKWA, ANARUDI NYUMBANI.
KESHO TENA ANAKWENDA ANATESWA, ANARUDI NYUMBANI
HALAFU NAKWENDA TENA ANANYANYASWA ANARUDI NYUMBANI!
SASA HAPA TATIZO LA NANI?NABII AU MUUMINI?

JE LENGO LA BBC NI KUTAKA WAAFRICA WAWAEPUKE MITUME NA MANABII?
JE NI KWELI WAFUASI WA MITUME NA MANABII NI MAZOMBIES? HAYANA FAHAMU, HAYANA AKILI?
HAPO KENYA TAPELI PAUL MACKENZIE, KASABABISHA VIFO VYA WATU 428 MBONA BBC HAIJAIPA KIUPAUMBELE ZILE HABARI?

Mackenzie bado ana kesi hawawezi kumuingizia uchunguzi. Kuhusu mitume na manabii muda ndio huongea. Hata hapo Kenya jicho pevu alipigwa vita Sana ila mwisho wa siku ukweli ukajulikana. Hivyo TB Joshua muda wake umefika
 
Watu huyobtulimjuwa ni tapeli way back
Naona kuna watu humu bado wanaamini tp Joshua alikuwa anafanya miujiza

Ova
Ni ujinga wa hali ya juu.

Ni moja ya sababu Africa kuendelea kiuchumi inakuwa vigumu sana.

Watu wengi wanapenda sana miujiza, uchawi, shortcuts za kijinga.

Ujinga na uvivu mtupu.
 
Sasa unafokafoka nini. Punguza kelele.

Leo mnajidai mnajali maisha ya watu wa Nigeria? Afrika? Since when?

Tulia.

Punguza ukasuku. Unapiga makelele kama HN Unafikiri ukiwa unatusi hivyo ndio unatoa point?

Utapigishwa deki tu kwa Wazungu wakimaliza kukutumia. Tulia.
Haya tuachane na Nigeria turudi hapa kwetu na huyu wa kwetu
Una amini anafanya miujiza
Kuponesha vilema,vipofu wanaona nk

Ova
 
Sasa huo unabii feki mpaka aje aseme Mwanamke wa Kizungu ndio Uamini? Hilo linadhihirisha umekamatwa kufikiria kwa uwezo wako na kudadavua unabii wake. (Una ukasuku) Yani mpaka unamuita Mbwa! Yebo

Kwanza wachana na Yesu ambaye hakuwepo pale Nigeria(Sic) manake kama angekuwepo(in spirit or physically, according to your state of mind) miujiza isingetokea. Au? That is another topic. Lakini miujiza ilitokea and Documented.

BBC ni mchonganyishi, BBC is predominantly controlled by white men. A white woman is part of a White Supremacy mindset they co-exist kwa kila kitu wanachokifanya.

According to my Friend ambaye ameandika extensively kuhusu White Women in Europe and America, nita mnukuu anasema

  • 'Mwanamke wa Kizungu anaweza kuwa kitu chochote, lakini hapaswi kukiuka kanuni ya msingi ambayo ni lazima azingatie overtly or tacitly, acceptance of white supremacy. She must be commited to whiteness, i.e she is biogenetically, politically, socioeconomically, and culturally white' mwisho wa kunukuu
Kwa msingi huo, na ukizingatia historia ya BBC na Uzungu wake, propaganda zake etc ndipo napopata nguvu ya kusema

BBC wameshatoa ushahidi na wewe toa ushahidi wako kiwapinga.
 
Back
Top Bottom