bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sahau hiloNimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahau hiloNimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Labda kama ingekuwa imeanza sasshiv kweli ingekuwa maslahi.Wale wanawake waliliwa matunda yao kimasihara wakachanganyikiwa, leonhii mke wake TB kasika usukanibwamekosa pa kuchumia, wamekimbilia kwao.
This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful. Hovyo
Wanayasema ya ukweli au ya uongoBBC siku zote ni ya Madhalimu.
Madhalimu huwa hawana mazuri ya kusema kuhusu Mwafrika.
Angalia mapovu ya mawakala yao huko juu.
Konyo Nzeshi Kabisa.
Kwa kweli KAMA YASEMWAYO NI KWELI. Basi TB JOSHUA ni katili, muuaji, mbakaji, mnyanyasaji...Nimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Daaaah, unamuita mwanadamu mwenzio Mbwa?Labda kama ingekuwa imeanza sasshiv kweli ingekuwa maslahi.
Ila muda tu ila zikawa zinazimwa kwa nguvu ya pesa.
Mbio za sakafuni hizo muda ni mwalimu mzuri yule mbwa alikuwa hana miujiza yoyote zaidi ya utapeli na umalaya.
Yesu alisema manabii feki watatokea ndio hawa, kupinga hilo ni unampinga yesu.
.Daaaah, unamuita mwanadamu mwenzio Mbwa?
Aliidhinishwa na nani kuwa na cheo hicho?Alikuwa ndie Nabii mkuu wa Africa
Funguka Mkuu,pleaseNimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Kunywa maji kidogo mkuu.Ndio mbwa
Ukikosa ubinadamu unakuwa mbwa.
Sawa sawa?
.
Kuna nabii wa uongo halafu analeta watu kwa Kristo?Hata kama ni manabii wa uongo wanawaleta watu kwa Kristo na kuwaokoa maelfu,acheni magugu na ngano vimee pamoja
Vipi wewe mmatumbi mwenzangu.Wazungu wanajua dini ni utapeli ,akitokea mtu akatumia imani tu wanajua anacheza kwenye zile zile room zao za utapeli.
Lile limeshafunikwa na nguvu ya pesa, sema tuu tunaangamia sana kwa kukosa maarifaNimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
HakikaNimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Asilimia 100 ya watu wanaowafuata hao waongo wanaojiita wahubiri sijui mitume, walimu, nabii, sijui wachungaji au maaskofu ni wagonjwa wa akili: wameharibikiwa kihisia, ni wagonjwa wasio na elimu ya magonjwa, na watu waliokosa akili ambao hawawezi kujua matatizo yanayowapata yanatokana na nini.Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
BBC ni wapuuziTakribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.