Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

Tulivyo na viongozi limbukeni Afrika wa kuiga kuiga, na wala rushwa unaona je wanaweza kwepa huu mtego wa afrika kuwa testing lab?
 
MkamaP,
at anya rate lazima watu wawe tested .... kwa taratibu zinazokubalika duniani
 
Mbona hela zao mnafurahi kuzipangia matumizi?Jana tu mbunge wa chama chakavu ,msukuma amefurahi sana ujio wa fedha za wazungu kwa hilo waacheni waje kujaribia hiyo mitambo

Sent from my itel S32 using Tapatalk
 
We ndo hauna mchango wowote Duniani.
Unahisi bila walivyotufanya na wanavyoendelea kutufanya Waafrika hao unaowaabudu wangefika hapo walipo?
Kama wako vizuri sana kwenye uvumbuzi wa chanjo waanze kujijaribia huko wenyewe waliokumbwa na madhara zaidi yetu.

Punguza jazba dada, ukweli utaendelea kubakia kuwa waafrica ni zero brain. Na ndio mana tutendelea kuwa mkia wa dunia
 
corona imewaathiri sana wao
kwann sasa wasifanye majaribio kwa watu wao
hawa watu saa nyingine sijui wanafikiriaga nini
 
Hivi Hawa Etoo na huyu mwenziwe wao ndio wamekua wasemaji wa waafrica?

Waafrica ni watu wa ajabu sana, Hatuna mchango wowote kwenye maendeleo ya ulimwengu halafa tunang'ang'ania lazima tupewe heshima sawa. Nikama vile wanawake wanaodai usawa wakati ni tegemezi tu.

Tuache kulalamika.

Acha kufanya Nisha wanawake na waafrika. Kama uko na mke au mama tegemezi basi jua kuna wanawake wanahangaika kutafutia maisha mazuri watoto wao bila kutegemea mtu. Anahakikisha watoto wake wanapata elimu, malazi, chakula na matibabu mazuri kitu ambacho government nyingi za Africa zimeshindwa ku provide kwa watu wake.
 
[emoji122][emoji122][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngumu SANA kuwaridhisha...wana-wa-Adam.
Wakiwa wa mwisho kosa, wamebaguliwa, wakiwa wa kwanza pia kosa wanategwa, wakiachwa kabisa ndiyo usiseme...
Tutafika taratibu...

Everyday is Saturday.................... 😎
Hujaelewa mantiki ya kutufanya chambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom