Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

Yule balozi wa Kenya hajaona hii atoe tamko kali.
Kenya wapo katika mchakato mzima wa #PrayForUkraine
20220227_164905.jpg
 
Tusiwe wanafiki,hakuna race inayompenda mtu mweusi,si mwarabu,si muhindi,weusi wenyewe hatupendani,Kenya,TZ ni mfano tosha.
Kipindi Cha JPM chuki ya wasukuma kwa wachaga iliongezeka maradufu
Hao wabeba mabox watu wa hovyo sana. Walienda kutafuta maisha huko kimenuka wanataka kukimbia washike silaha wapambane kama wenzao wanavyopambana.

Rais kasema hakuna kutoka wote tushike mtutu tupambane. Wewe unataka kukimbia tunakuzuia unabweka, baniani mbaya kiatu chake kisiwe dawa.
 
Ni haohao watu weusi wanalalamika kuzuiwa kuondoka wakati wa vita wakisema wanabaguliwa. Je vita ikiisha halafu wa Ukraine wakasema hatuwataki watu weusi kwa sababu walitukimbia wakati wa vita hamtarudi kulalamika tena? ACHENI KULIA BAKINI MPAMBANE.
 
Back
Top Bottom