Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waungwe mkono kwakweli,Hilo wizara linalohusika kuwahamisha raia huko Ukraine wanafanya vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabaki Wapambanie nchi Yao, SI wanaume wale?Jamani wazungu si ndio wanatup na mikopo nafuuu halafu wanatufanyia mambo ya hovyo nna hiii kweli?
Kwani nchi yao 🤣🤣🤣 wengi wamekuwa fanya kazi ,kuna wasomi ,watu wa biashara na hao wanaondoka nao ambao ni wa ukraine ndoa wanatakiwa wabakiNi haohao watu weusi wanalalamika kuzuiwa kuondoka wakati wa vita wakisema wanabaguliwa . Je vita ikiisha harafu wa Ukraine wakasema hatuwataki watu weusi kwa sababu walitukimbia wakati wa vita hamtarudi kulalamika tena?. ACHENI KULIA BAKINI MPAMBANE.
Kisabengo Kenya, njaa inawatafuna anawaza UkraineKenya wapo katika mchakato mzima wa #PrayForUkraineView attachment 2133092
Uzalendo kwa Waafrika hua unaishia kwenye pombe, muziki na mademu basi.Serikali ishasema wanaume wote wabaki Wapambanie nchi Yao.
Hao waafrika mbona Ni wanaume na wanataka kuikimbia nchi?
Huo Ni uhaini,
Waonyeshe uzalendo, ukipenda boga penda na UA lake
Kwani waarabu wapo bara gani huko Duniani.Mwarabu yeye ndio alimwachia dini ya kweli, haya bhana ndg mwarabu.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
big point mkuu. Wapenda vya bure hao. Rais kasema wote tupambane wao wanakimbia .
Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayoelekea Poland ambayo inabeba raia wanaokimbia vita.
Ni haohao watu weusi wanalalamika kuzuiwa kuondoka wakati wa vita wakisema wanabaguliwa. Je vita ikiisha halafu wa Ukraine wakasema hatuwataki watu weusi kwa sababu walitukimbia wakati wa vita hamtarudi kulalamika tena? ACHENI KULIA BAKINI MPAMBANE.