Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

Safi sana Waukraine napenda sana watu wanaojithamini wao kwanza, geuza hiyo hali 1:1 Tanzania unafikiri matokeo yangekuwaje ? Si sisi tungeruhusu Wahindi, Waarabu, Machotara, Wazungu wapande kwanza kabla yetu?
 
Waafrika ni watu wa kulalamika lalamika tu...hiyo ndio culture yao
kabisa mkuu. Ongezea na kupenda vya mterezo . unakuta lijitu limetoka tandale likakimbia ulaya linasema limekimbia maisha magumu.
Likienda huko linakuta nchi za huko maisha fresh linawasahau huku ndugu zake. Huko kikinuka linataka kurudi linalalamika Mara "oooh!!.. huku kuna machafuko. oohh!!!. huku tunabaguliwa "yaan full kulalamika .
 
Wachukue Bunduki waingie uraiani kupigana, vita ikiisha wakiwa hai wanapewa medal za ushujaa na kupewa uraia wa Ukraine na black community itatambulika hapo kuiokoa nchi kutoka kwenye ukoloni wa Putin..

Mweusi ukifa vitani utatambulika shujaa wa Taifa la Ukraine na hata familia yako itapata favor hapo ukraine..
 
Vijana wa kiukraine wameshika bunduki wanapigania Taifa lao halafu Nigaz wanakimbilia ukimbizini, kesho mnarudi tena mnataka asylum wakati sio waaminifu....
 
ni muda wa kulipa gharama za kodi za watu....tumekimbia shida Africa baada ya kupambana nazo na kuifanya kama Ulaya, tunakwenda kwa watu kuenjoy maisha wakati wa shida tena tunataka kukimbia baada ya kusaidia....
Big point.
 
Mzungu hana upendo na mwafrica. Ni dini feki tu ndicho alichomwachia muafrica
Weka unafiki pembeni, ikitokea vita hapa bongo ikachachamaa (Mungu aepushie mbali), halafu ikaja treni kubeba watu kuwapeleka Zambia, unadhani nafasi ya wahindi kungia kwa treni itakuaje? Wataruhuiswa kirahisi?
 
Back
Top Bottom