F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Yanataka kukimbia. Vita ikiisha yarudi.Ina maana vita haiwahusu? Wapewe silaha warudi vitani,si ni wakazi wa kiev?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanataka kukimbia. Vita ikiisha yarudi.Ina maana vita haiwahusu? Wapewe silaha warudi vitani,si ni wakazi wa kiev?
Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayo elekea Poland ambayo inabeba raia wanao kimbia vita.
Utashangaa sasa Wahindi, Wazungu ndio watakaopata first class treatment na kuondoka bila shida yoyote, wao ndio wenye pesa 🐒Weka unafiki pembeni, ikitokea vita hapa bongo ikachachamaa (Mungu aepushie mbali), halafu ikaja treni kubeba watu kuwapeleka Zambia, unadhani nafasi ya wahindi kungia kwa treni itakuaje? Wataruhuiswa kirahisi?
Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayo elekea Poland ambayo inabeba raia wanao kimbia vita.
Siku zote wako kimaslahi zaidi.Mzungu hana upendo na mwafrica. Ni dini feki tu ndicho alichomwachia muafrica
wahindi na wenye pesa ndo watapanda iyo treniWeka unafiki pembeni, ikitokea vita hapa bongo ikachachamaa (Mungu aepushie mbali), halafu ikaja treni kubeba watu kuwapeleka Zambia, unadhani nafasi ya wahindi kungia kwa treni itakuaje? Wataruhuiswa kirahisi?
Wengi wao ni nchi masikini ,hawajasafiri huku na kule akili zao ziko localizedHakuna watu wabaguzi kwa mtu mweusi kama watu wa Ulaya mashariki.
Ukikaa nao ndio utawajua tabia zao.
Wapuuzi sana! Alafu they are very cheap especially Russians.Wengi wao ni nchi masikini ,hawajasafiri huku na kule akili zao ziko localized
Vita inahusu wazungu kwa sababu wao ndio wameanzisha mtiti. Waafrika warudi Nyumbani kusikilizia upepo kwanzaIna maana vita haiwahusu? Wapewe silaha warudi vitani,si ni wakazi wa kiev?
Hawa jamaa ujinga wa kushobokea Wazungu sijui wataacha lini
Si bora likimbilie ulaya..likija kwako ndio utakoma, mara shem aniachii chakula, mara ananiachia chakula kidogo...mara bro anijali hanitafutii kazi wakati kazini kwao naona kuna mishe kibao...heheheheekabisa mkuu. Ongezea na kupenda vya mterezo . unakuta lijitu limetoka tandale likakimbia ulaya linasema limekimbia maisha magumu.
Likienda huko linakuta nchi za huko maisha fresh linawasahau huku ndugu zake. Huko kikinuka linataka kurudi linalalamika Mara "oooh!!.. huku kuna machafuko. oohh!!!. huku tunabaguliwa "yaan full kulalamika .
Vuzi la kalioni lile. Mzungu ni adui na 1 wa utu wetuYule balozi wa Kenya hajaona hii atoe tamko kali kulaani..
Bongo Zozo kaitwa IkuluUna hakika hapa kwenu hamshobokei wazungu? Jaribu kufuatana na mzungu kutafuta huduma au connection kwenye taasisi za umma na za binafsi hapa Tz kisha ulete mrejesho wa yaliyojiri.
Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayo elekea Poland ambayo inabeba raia wanao kimbia vita.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wamegeuzwa wapigaji uhuruWaafrika wameambiwa wabaki wapambane na Russia