Waafrika wazuiwa kuingia katika treni inayo elekea Poland

Wanakimbia kwenda wapi wabaki waipiginie nchi kama vile wenzao wanavoipigania. Wanataka nchi ipiganiwe na nani kisha vita ikiisha wao warudi kuja kula bata? Ukipenda boga penda na UA lake.
 
Tusiwe wanafiki,hakuna race inayompenda mtu mweusi,si mwarabu,si muhindi,weusi wenyewe hatupendani,Kenya,TZ ni mfano tosha.
Kipindi Cha JPM chuki ya wasukuma kwa wachaga iliongezeka maradufu
Hao wabeba mabox watu wa hovyo sana. Walienda kutafuta maisha huko kimenuka wanataka kukimbia washike silaha wapambane kama wenzao wanavyopambana.

Rais kasema hakuna kutoka wote tushike mtutu tupambane. Wewe unataka kukimbia tunakuzuia unabweka, baniani mbaya kiatu chake kisiwe dawa.
 
Ni haohao watu weusi wanalalamika kuzuiwa kuondoka wakati wa vita wakisema wanabaguliwa. Je vita ikiisha halafu wa Ukraine wakasema hatuwataki watu weusi kwa sababu walitukimbia wakati wa vita hamtarudi kulalamika tena? ACHENI KULIA BAKINI MPAMBANE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…