Duh hivi mimi labda ndio naona vibaya waafrica sio attractive kina nani hao walio attractive zaidi sasa yaani wasomali, Rwandan, Ethiopian south african tanzanian sio attractive wewe unaumwa..!ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia, Full stop 🐒ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
attractive kwako si attractive kwanguni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
unakunywaga soda nikununulie😊Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..
Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..
Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
Hahahaha Ile Soda Kubwa 🤣🤣unakunywaga soda nikununulie😊
Aaaaah wapi hakuna mtu anayetaka kukaa na kitu kisichoelewekauziri wa mwanamke sio urembo ni tabia, Full stop 🐒
utang'ang'ana kutafuta had mvi zikutoke 🐒Aaaaah wapi hakuna mtu anayetaka kukaa na kitu kisichoeleweka
🤣🤣🤣🤣mwishoe mnazaa watoto mashoga....kisa unataka mwanao wa kiume nae awe attractive