To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Indeed 🥰utang'ang'ana kutafuta had mvi zikutoke 🐒
uzuri unatengenezwa bana,
usione wanapendeza tu huko mtaani, kuna nguvu ya ziada nyuma ya huo urembo 🐒
hata awe srepa namna gani unaweza mrekebisha kwa kumtimizia tu mahitaji akawa kama malaika 🐒
unafaaa mchezo nni