Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

Hao Watutsi ,Nyankole ,wambulu nk,ni heritage yenye chimbuko la Ethiopia waliohamia huku kusini kutokana na migration za ufugaji ,na tunajua Makabila ya Ethiopia si wabantu wale

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Sio Wabantu ila ni Waafrika...nenda ET hapo ukakutane na pisi ya hatari harafu unaitoa kijijini huko au hapo Rwanda..
 
Akili za mwafrika, anawaza, shape, sasa shape na sura inakusaidia nini? samsung inatoka Korea, umeona sura zao? Toyota inatoka Japan, umeona sura zao? Vietel/halotel iliyoajiri ndugu zako, inatoka Vietnam, umeona sura zao?
Hapo ulipo kuanzia chupi, mpaka nguo,na asilimia 99%ya, vitu ulivyonavyo ndani inatoka nje!
Wewe unachijari ni sura na muonekano? ;
Ujinga ni janga kubwa sana
Muambie huyo. Kuvutia kwako hakukufanyi uwe muhimu bali mchango wako kwenye jamii. Ulishaona wapi watu wanaalikwa kwanye event muhimu sababu wanavutia?
 
Anapoongelea waafrika ana maanisha negros (wide & flat nose bantu tribes za Africa ) , na ni kweli anachosema makabila ya wabantu hayana watu attractive , niggers looks ugly as fvck
Pamoja na kuvaa makorokoro mengi , wengi bado ni ugly
Hamna natural beauty kama hayo makabila ya wakush na Nilotes

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Man fcuk you!
 
Hiyo ni nature.
Hata Wanyama kigezo kikubwa cha uzao ni Nguvu, Akili na Uzuri(Mvuto) hivyo ni vigezo vya Watu au jamii kubwa tangu zamani.

Hata Biblia Manabii wote kigezo chako kikubwa kilikuwa ni Uzuri wa mwonekano kisha tabia.

Kwenye uislamu (jamii za kiarabu na Mashariki ya kati) huwezi tenganisha Ndoa na suala la uzuri wa muolewaji.

Hapa wengi watakuponda lakini ukweli umeusema
Naunga mkono. Ukiwa na sura personal unateseka sana mtaani. You just look violent hata kama hujafanya chochote.
 
Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..

Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..

Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
mueleze huyo dogo kikojozi.
 
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.

Chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke siyo attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini?
Wanyamwezi wanasema the beauty lies in the eyes of the beholder, na kiuhalisia kila jicho lina ua lake, mtu unaemwona wewe mbaya mi nikampenda kabisa kutoka moyoni (no lie) na nikamwona mzuri (awe mweusi, mweupe, bonge, kimbaumbau, mrefu au mfupi)

Hivyo inategemea na mtu anapenda nini, na huyo ataetokea kwetu basi ameumbwa kwa baraka za alie juu ambae kwake wote tupo sawa na anatupenda pasi na kujali mapungufu yetu nae atapata mtu wa kumpenda
 
Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..

Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..

Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
Vitu kama hivi,vinaonyesha wazi akili ya mleta mada. Kama anajiona ana mvuto kwa kujichubua,kudanganywa na hawara anaetaka mshiko kwake, akumbuke kuna mtu akimwangalia anamuona kama uchafu na hutamani kutapika.
Huyo huyo anaemuona hana mvuto,ana wake anaempenda kuliko wengine duniani. Jeuri hizi nyingine bhana eh
 
Back
Top Bottom