Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kwanini wewe siyo attraktivu!☺️unakunywaga soda nikununulie😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wewe siyo attraktivu!☺️unakunywaga soda nikununulie😊
Upate uzao attractive Ili iweje sasa?Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
Chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini?
Unanidanganya huku naona kabisa🤣🤣JF username,jina la utani linadhihirisha vile ni mrembo kiasi gani,sijakosea.😉
Ndio wote hatuko attractive tumekutana, si huwa unaniambia umenipendea ufupi wangu na kitambi au huwa unanidanganya?Unanidanganya huku naona kabisa🤣🤣
Hebu weka picha yako mkuu tuone ulivyofinyangwafinyangwa!😁😂😂😂Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
Chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini?
Uzuri ni tabia 😸😸Kesi ni nyingu tuwe na huruma 😂
am very attractive yaaaani 👌👌Kwanini wewe siyo attraktivu!☺️
Hongera mremboam very attractive yaaaani 👌👌
Ndio sasa mwanamke mzuri wanini kama hana tabia nzuri?Uzuri ni tabia 😸😸
Hulazimishwi kuona hivyo achana na maisha ya watuHalafu wakisimama mbele ya kadamnasi,utawasikia huyu ni mke/mume wangu mzuri,wakati tunaona siyo mzuri yaani hapo ni kupaka upepo rangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako hii naiwekea ulinzi mkali Dr[emoji4].Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..
Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..
Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
Mh umetupa misumari mikali balaa, nimekubaliAkili za mwafrika, anawaza, shape, sasa shape na sura inakusaidia nini? samsung inatoka Korea, umeona sura zao? Toyota inatoka Japan, umeona sura zao? Vietel/halotel iliyoajiri ndugu zako, inatoka Vietnam, umeona sura zao?
Hapo ulipo kuanzia chupi, mpaka nguo,na asilimia 99%ya, vitu ulivyonavyo ndani inatoka nje!
Wewe unachijari ni sura na muonekano? ;
Ujinga ni janga kubwa sana
Now I believe wewe ni mpumbavu kiwango cha maviNi ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.
Chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke siyo attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini?
Anapoongelea waafrika ana maanisha negros (wide & flat nose bantu tribes za Africa ) , na ni kweli anachosema makabila ya wabantu hayana watu attractive , niggers looks ugly as fvckHuyu mleta mada hajawahi kuona pisi za kihabeshi watoto wa ki ethiopia...
Nadhani akiwaona ata badili mtazamo wake
Wambulu ni Nilotes sio kabila la kibantuUnawaangalia huku ukiwa umetupia kitu kichwani aisee Nchi hii ina pisi ukiiangalia lainii kama ukiibonyeza inatoboka shida mpo maporini huko unataka kuleta majibu ya Africa nzima...
Swazi,Botswana,Tanzania,Rwanda na Ethiopia wana balaa mabinti walio katika ukanda huo au shuka hapo Mbulu uone watoto walivyo warembo kama wa kutengenezwa vile...
Hao Watutsi ,Nyankole ,wambulu nk,ni heritage yenye chimbuko la Ethiopia waliohamia huku kusini kutokana na migration za ufugaji ,na tunajua Makabila ya Ethiopia si wabantu waleUnawaangalia huku ukiwa umetupia kitu kichwani aisee Nchi hii ina pisi ukiiangalia lainii kama ukiibonyeza inatoboka shida mpo maporini huko unataka kuleta majibu ya Africa nzima...
Swazi,Botswana,Tanzania,Rwanda na Ethiopia wana balaa mabinti walio katika ukanda huo au shuka hapo Mbulu uone watoto walivyo warembo kama wa kutengenezwa vile...