Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..

Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..

Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
Watu wenye mvuto WAPO na WASIO na mvuto WAPO usibishane na mtoa mada
 
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.

Chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke siyo attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini?
Mkuu,
Zipo sabb nyingi Sana mkuu
 
Huu utafiti wako umefanyia chooni au bafuni?
 
Back
Top Bottom