Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.

Ongezeko la watu lisipo zuiliwa umasikini utaendelea kuongezeka Afrika serikali za Afrika zibadilike
Tunarudi pale pale, kwa nini hizo nchi zenye watu wengi ndio wana uchumi wenye nguvu zaidi duniani? Ni bahati mbaya?
 
Tabla lasa, nyumbu, ndondocha, 15% ni robo ya watu wote duniani!?
Africa ndio yenye bara la pili kwa ukubwa, Africa ndio bara pekee lililo bakiwa na resources nyingi kuliko bara lolote
Nilikuwa nawaza 25% huku na type 15% mambo mengi Mkuu, ila kweli nimekuwa kilaza hapo 😂😂😂

Ila dah, umenikandia sana hadi undondocha umenipa Mkuu 😂😂😂
 
 
 
 
Wazungu sio watu wazuri,hawajawahi kutupend a japo tunawashobokea,tena wanasema kabisa wao ni wafalme wakija Africa ya mashariki,,,,

Neways hivi ni madawa wanayopewa hospital au vipi maana bibi zetu walizaa had watoto 10 bila shida na walifungua kawaida tu ila siku hizi wanawake wachache sana wanazaa watoto had wa5 bila kisu
 

Una uhakika wewe bwana ako siyo mzungu?? Au lazima utakua una basha mzungu!

Jibu swali : kwann wazungu waliiba bara la amerika na kuwamaliza wazawa??
Kwann Wingereza wamepora austraria??
Kwann white wamepora Argentina?
kwann South Africa ??

siyo unahepa hepa kama umetoka kupigwa bao na bwana ako mzungu
 
Okay jibu kwanza haya maswali.

1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?

2. Watapata faida gani tukiwa wachache?

3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?

Akijibu hayo maswali ndo nn??
Yy n mzungu?? kawaulize

Ye kaleta ushahidi hapo juu!!… we kama una maswali nenda kawaulize waliokua wanafanya research, au kawaulize marekan kwann waliwaua red indians
 

Kwan africa nchi zimeisha babu!!! Lazima watu wote waishi rwanda !! CAR ukubwa saizi ya french ina watu 5milion tu!! Africa hyo hyo… ndo maana kuna migration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…