Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Afrika nimeishi nafahamu mengi kuhusu Afrika kiukweli bado ipo nyuma sana haihitaji watu kuendelea kuongezeka bila kudhibitika.

Ongezeko la watu lisipo zuiliwa umasikini utaendelea kuongezeka Afrika serikali za Afrika zibadilike
Tunarudi pale pale, kwa nini hizo nchi zenye watu wengi ndio wana uchumi wenye nguvu zaidi duniani? Ni bahati mbaya?
 
Tabla lasa, nyumbu, ndondocha, 15% ni robo ya watu wote duniani!?
Africa ndio yenye bara la pili kwa ukubwa, Africa ndio bara pekee lililo bakiwa na resources nyingi kuliko bara lolote
Nilikuwa nawaza 25% huku na type 15% mambo mengi Mkuu, ila kweli nimekuwa kilaza hapo 😂😂😂

Ila dah, umenikandia sana hadi undondocha umenipa Mkuu 😂😂😂
 
 
 
 
7A75B4BA-6BA3-4DC8-ABB2-2573A5EE2106.jpeg
 
Wazungu sio watu wazuri,hawajawahi kutupend a japo tunawashobokea,tena wanasema kabisa wao ni wafalme wakija Africa ya mashariki,,,,

Neways hivi ni madawa wanayopewa hospital au vipi maana bibi zetu walizaa had watoto 10 bila shida na walifungua kawaida tu ila siku hizi wanawake wachache sana wanazaa watoto had wa5 bila kisu
 
Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango

Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?

Vifaa vya umeme, ujenzi, magari, mafuta, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?

Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wanawatawala wasingeweza?


Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie

mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi

Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI


Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani

Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?

Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?

hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya

Inafaa mzaliane kwa uangalifu mpaye watoto mtakaoweza kuwapa huduma bora za afya, chakula, malezi na elimu bora,
Pengine wakiwa na elimu bora wataweza kujimudu zaidi kuliko kizazi cha sasa

Una uhakika wewe bwana ako siyo mzungu?? Au lazima utakua una basha mzungu!

Jibu swali : kwann wazungu waliiba bara la amerika na kuwamaliza wazawa??
Kwann Wingereza wamepora austraria??
Kwann white wamepora Argentina?
kwann South Africa ??

siyo unahepa hepa kama umetoka kupigwa bao na bwana ako mzungu
 
Okay jibu kwanza haya maswali.

1. Watapata hasara gani Waafrika tukiwa wengi?

2. Watapata faida gani tukiwa wachache?

3. Kwanini Waafrika na sio Waasia walio tishio kiuchumi?

Akijibu hayo maswali ndo nn??
Yy n mzungu?? kawaulize

Ye kaleta ushahidi hapo juu!!… we kama una maswali nenda kawaulize waliokua wanafanya research, au kawaulize marekan kwann waliwaua red indians
 
Sorry umetumia neno ushenzi, naomba name nilitumie, usikasirike, I guess you are a scientist ready to absorb results of an experiment! or statistical jargons on estimations

Umeangalia population at a large scale , world level. Umesahau individual countries, microcosm environment. For example Rwanda population density ni 483/sq km! Ukigawa unapata kila mtu eneo lake ni sq m 2070... kitu kama miguu 40x50... ulime na familia yako to earn a living. It is not an industrialized country kuwa wanategemea employment

View attachment 1051221
Nakuwekea link hiyo
Rwanda Population (2019) - Worldometers

NAJUA UTASEMA WAZUNGU WANADANGANYA!
I STAND TO BE CORRECTED PLEASE

Kwan africa nchi zimeisha babu!!! Lazima watu wote waishi rwanda !! CAR ukubwa saizi ya french ina watu 5milion tu!! Africa hyo hyo… ndo maana kuna migration
 
Back
Top Bottom