Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

Kuna mstari mwembamba sana kati ya muafrika mtu mweusi na kukosa akili.
 
Uislam ni Arab culture, acha longolo bwashee kwani madina ni wapi na makkha ni wapi?

Africa tujikomboe na hizi ujinga wa dini, sasa hivi Africa viongozi hawajielewi wakoloni wako bize na ujinga unaoitwa ushoga kupumbaza watu wao
Dini na Maendeleo ya Africa ya aenda sambamba unaweza niambia point Gani Africa ama Dola gani ya Ki Africa iliwahi kuwa kubwa na kutingisha Dunia bila kuwa na Dini?
 
Najua una Chuki na Uisilamu najibu tu kwa Faida ya wengine Sina haja na Reply yako

1. Katika Nchi ambayo ni ya Kiarabu na Haina Dini Sana Tunisia inaongoza hivyo kuihusisha Hio Kauli na Uisilamu haina mantiki

2. Tunajua Nani Ana Discourage watu weusi kuzamia kwenda Ulaya na miaka ya karibuni baada ya maraisi wengi wa Kiarabu Africa Kaskazini kuondoka matukio kama haya yamezidi, Huyo Raisi hapo anaridhisha mabwana zake huko Ulaya ambao wewe unawaabudu humu kila siku.

3. RAIA wa Tunisia baada ya hio Kauli Waliingia barabarani kuandamana naona kwako hii haifit narrative umeaiacha Ushahidi wa Video


Na mpaka sasa hivi Maandamano ya naendelea Jana Maelfu wameingia barabarani, watu wamekamatwa na wanaharakati wengi wapo Rumande sasa hivi.
 
Dini na Maendeleo ya Africa ya aenda sambamba unaweza niambia point Gani Africa ama Dola gani ya Ki Africa iliwahi kuwa kubwa na kutingisha Dunia bila kuwa na Dini?
Kemet(misri ya watu weusi) ya kale ilikuwa falme kubwa haikuwa na hizo dini zenu za mchongo, Ethiopia(kush) ilikuwa falme isiyo ya kidini, Central afrika nako huko kulikuwa hivo, south kwa shaka zulu nako hivyo hivyo, someni jamani.

Msikalili ujinga, dini ni uhuni wa watu weupe walioutunga kuwatawala raia kiwepesi.

Hakuna undugu unaounganishwa kwa njia ya dini, achen kudanganywa, hao waarabu ni wahuni kama walivyo wazungu.

Na bado mtakimbizwa sana kwenye nchi za watu mpka muithamini Ardhi yenu kwanza na kujithamini ninyi wenyewe.

Unalikuta jitu jeusii linamuita mweusi mwenzie kafiri lkn linamuona muarabu ndie ndugu kisa dini ya mchongo, huo ni upumbavu.

Hizo dini zenu za mchongo hazina muda mrefu zitapotea kama sio kufa kwa kukosa mvuto kwa kizazi hiki na kijacho.
 

Mwarabu aliwaingiza mkenge kwenye dini yake na mkawa mazombi hata kumzii, waarabu wanawachukia sana weusi japo mnawashobokea kwenye dini yao na mikanzu yenu.
 

Hehehe sasa na hili mnataka kulaumu Marekani, yaani sijui nani kawaingiza mkenge kwenye hiyo dini ya mwarabu kulaumu Marekani kwenye kila kitu hata kwenye mambo yenu wenyewe.
 
Naona umewatetea sana kuwa wamesomea ulaya. Mbona majina na dini hawajatumia za ulaya?
Wavaa kobazi wakifanya uasi wao ni kuwasingizia nchi za magharibi.
Mwarabu ana roho mbaya ndiyo maana uarabuni siyo nchi za kutolea mfano mzuri
 
 Anayejua namna ya kupata GB za bure kwa vodacom, Tigo na airtel na Halotel aje PM anifundishe nimechoka kununua bando
 
Kemet(misri ya watu weusi) ya kale ilikuwa falme kubwa haikuwa na hizo dini zenu za mchongo, Ethiopia(kush) ilikuwa falme isiyo ya kidini, Central afrika nako huko kulikuwa hivo, south kwa shaka zulu nako hivyo hivyo, someni jamani.
Misri ya Kale walikua na Dini yao, Pharaoh ni cheo cha dini, waliabudu Anubis na Miungu wengine na wapo walioabudu Mungu mmoja kama Wakati wa Nabii Yusuf.

Ethiopia kabla ilikuwa ina Dini moja na Egpty na baada ya Yesu ilikuwa ni Nchi ya Kikristo

Zulu watoe hao ni kasehemu kadogo sana huwezi weka meza moja na Empire kubwa zilizotingisha Dunia

Central Africa Empire gani?
Msikalili ujinga, dini ni uhuni wa watu weupe walioutunga kuwatawala raia kiwepesi.

Hakuna undugu unaounganishwa kwa njia ya dini, achen kudanganywa, hao waarabu ni wahuni kama walivyo wazungu.
Its A fact Uisilamu ulileta maendeleo Africa si hadithi za kusadikika, Mogadishu, Kilwa, Mali, Zanzibar na maeneo kibao kulikua na utajiri wa kutupwa, mfumo wa kiisilamu ni rafiki kuinua watu na kutokomeza umasikini kwa haraka, Empire mbalimbali kwa miaka tofauti tofauti za kiisilamu zilikuwa hazina masikini hadi watu hawajui zaka na sadaka wapeleke watu

Hata leo ukiangalia kuna Nchi kibao duniani zinafuata mila za kiisilamu japo si 100% ila wamefanikiwa kiasi kikubwa kutokomeza umasikini.
Uisilamu hautakufa ni promise yake mwenyewe Mwenyezi Mungu, na kila siku unazidi kutanuka, hizo nchi kama za Ulaya, Marekani kaskazini na Asia ambako watu by average wana Elimu kubwa watu wanasilimu kwa kasi kubwa, kwanini unafikiri Uisilamu unakosa mvuto?

Miaka 100 iliopita ngumu kukuta Muingereza ama Blonde wa Usa ni Ulamaa wa Kiisilamu ila sasa hivi wamejazana kibao, tena sio Masheikh wadogo, Masheikh wakubwa wanaheshimika Dunia nzima, Japan na Nchi nyengine za Asia ya mbali nako Uisilamu ni mgeni kabisa, mwaka 2000 ngumu kukuta Mkorea Muisilamu ila 2023 wapo zaidi ya laki 2.

Hivyo mkuu kama unafikiri kizazi kijacho hakina waisilamu ni Wishful thinking tu
 
Dini na Maendeleo ya Africa ya aenda sambamba unaweza niambia point Gani Africa ama Dola gani ya Ki Africa iliwahi kuwa kubwa na kutingisha Dunia bila kuwa na Dini?

Wababeli walikua na dini gani,?
 

Mbinu za kwenda kuumaliza uislamu,stay tune.
 
Hapo nchi za kiafrika kama vile zimepata uhuru juzi
Kila siku inajiandaa na walilokwisha litolea maamuzi majuzi bungeni
Mambo yote ni mpya kwao, Hakuna kwenda mbele zaidi ya kurudi nyuma,
 
Kuna watu wanakurupuka sana haya ni mambo ya uraia wao wanachanganya na mambo ya dini.
South Africa pia wanawafukuza na kuwaua waafrika wenzao mbona hatusemi wakristo ni watu wabaya maana South Africa si nchi ya kiislamu
 
Watu wamekariri sana aisee wanadhani uislamu ni mali ya waarabu kumbe hawajui miongoni mwa hao waarabu pia kuna washenzi na walevi.
 
Yaani sisi watu weusi hakuna tunapopemdwa duniani, iwe Ulaya, Asia na marekani, kule Argentina walishamaliza ngozi nyeusi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…