Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

Kuna watu wanakurupuka sana haya ni mambo ya uraia wao wanachanganya na mambo ya dini.
South Africa pia wanawafukuza na kuwaua waafrika wenzao mbona hatusemi wakristo ni watu wabaya maana South Africa si nchi ya kiislamu
Hivi kumbe south wanapigania dini??
 
Mwarabu aliwaingiza mkenge kwenye dini yake na mkawa mazombi hata kumzii, waarabu wanawachukia sana weusi japo mnawashobokea kwenye dini yao na mikanzu yenu.
Yesu alivaa Mikanzu na mikobazi
 
Yaani sisi watu weusi hakuna tunapopemdwa duniani, iwe Ulaya, Asia na marekani, kule Argentina walishamaliza ngozi nyeusi zote.
Ujinga umetawala vichwani mwetu ni lazima tuchukiwe dunia nzima kwa watu wanao tumia akili.
 
Mababu wa mababu wakifufuka wakaona wajukuu zao wanavyohangaika hawajui pa kushika watajilaumu sana kuruhusu dini kuwa njia ya ukoloni.
 
NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE.

KAENI KWENYE NCHI ZENU MTULIE,ACHENI KUPELEKA LAANA KWENYE NCHI ZA WATU WASIYOKUWA NA LAANA.

Na sisi tutaanza kutembeza kichapo hapa tz waarabu wote nao tutaanza kuwakataa...... sisi wenyewe atuwapendi vile vile kwa sababu wanalaana
 
Mababu wa mababu wakifufuka wakaona wajukuu zao wanavyohangaika hawajui pa kushika watajilaumu sana kuruhusu dini kuwa njia ya ukoloni.
Kosa kubwa lililo fanywa na wazungu na waarabu ni kuleta dini kwa watu walio kosa akili, hata hao mababu zetu nao ni washenzi tu tena washenzi haswa ndio walio tuuza kama mafungu ya nyanya.
 
Kosa kubwa lililo fanywa na wazungu na waarabu ni kuleta dini kwa watu walio kosa akili, hata hao mababu zetu nao ni washenzi tu tena washenzi haswa ndio walio tuuza kama mafungu ya nyanya.
Kuna mababu waliotuuza na wapo wale waliopokea wamissionary na waarabu kwa mwamvuli wa kusambaza dini. Hawa ndio waliofungua milango ya utumwa wa fikra na kuabudu ngozi nyeupe. Hawa ndio waliohakikisha mtu mweusi anamuona mtu mweupe kama njia ya kufika mbinguni. Weupe walipofanikiwa hapo The rest is history. Hawa mababu waliotuuza walijikuta tayari jamii inamuabudu mtu mweupe. Mfumo tayari ulishawafanya iwe ngumu kupigana na mtu mweupe sababu tayari raia wake wapo brain washed. Na waliojaribu kama kina mkwawa walishindwa.
 
Asante mkuu, mimi siku zote nime kuwa niki sisitiza kuwa somo la historia yetu sisi weusi hapa duniani ni la msingi sana.

Tunapaswa kujua tulitoka wapi, tupo wapi na tunapaswa kwenda wapi. historia yetu isianze wakati wa uwepo wa watu weupe huku kwetu tuitafute wenyewe ndani ndani zaidi ili tujuie tatizo hasa ni nini ?

Bila kujua tatizo letu sisi watu weusi hapa duniani kihistoria hatutafika popote maana kila mahali sisi ni wakukataliwa sio ulaya, sio Asia wala sio America kila mahali ni shida kwetu.

Kwa nini tuna matatizo mengi sana sisi watu weusi hapa duniani ?
 
duh,kumbe kupiga na kuua watu wasio na hatia ndio "ummah"wa hakhi?dini zingine zina mbingu yao na mungu wao,na mtume wao...
duh,kumbe kupiga na kuua watu wasio na hatia ndio "ummah"wa hakhi?dini zingine zina mbingu yao na mungu wao,na mtume wao...
 
Mkuu watu weupe wanatumia akili sana.
wanahakikisha historia watoto wako watakayoijua ni ile ya kuanzia utumwani kwenda mbele, kabla ya hapo hakuna kitu. Wazee wote wenye wajibu wa kurithisha asili ya mwafrika kwa mtoto wa kiafrika hawapo.

Na sasa hata hiyo historia ya utumwani haina ishu sana kwa kizazi cha sasa. Inshort Africa haiwezi kurudi kwenye asili yake. Kilichobaki ni kurudi nyumbani na kuendeleza ardhi ya nyumbani kwa mfumo huu huu wa kisasa wa globalization.
 
Kweli mkuu
 
Tujitahidi kujenga uchumi wa mataifa yetu.
 
Jibu ni rahisi mno

Mataifa yetu yakate mahusiano na Tunisia. Tujitenge na mbaguzi kuanzia kwenye jamii hadi mahusiano ya michezo.

Najua viongozi wetu wasivyoguswa na utu watalipotezea hili
 
Wewe ni mjinga akili huna

Mbnna waarabu wamejazana africa angalia hapa Tanzania! Je tuwafukuze?
NGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE.

KAENI KWENYE NCHI ZENU MTULIE,ACHENI KUPELEKA LAANA KWENYE NCHI ZA WATU WASIYOKUWA NA LAANA.
 
Acheni chuki na kuingiza udini kila sehem. Kwasbb wqmefanya waarbu nd mnaanza kuwatukna waislam kuwadhihaki mnafika mbali zaud hata kumtukana Mtume jaman sio vzr, tuchungeni ndimi zetu.

Mambo ya ubaguzi yapo tu msisahau hata uko kwa hao mnao waona ni wakamilifu Amerika na Ulaya ubaguzi upo wa hali ya juu, mbona hamsemi mambo ya udini?

Kitu akifanya muarabu kikiwa kibaya lazima lawama zitawaangukia Waislam na Mtume wao. Dah! Hatari hii
 
Hutasikia AU wakiongea chochote hapo,
Natamani Kama waafrika wote wangejua watu weupe wanatuchukulia yaani wanavyotuongea behind the scene. Nadhani tungeheshimiana. Wengi wakiona mzungu wanajua malaika huyu. Wanajua nchi zao Ni sawa na mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…