Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Maaskari na Usalama wa Taifa hawapo upande wetu na watumishi wote hawapo upande wetu na ndio maana tunasema kushinda Uchaguzi huu ni kazi ngumu. " -Tundu Lissu akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari (9/9/2020)Sisi wafanyakazi tunajua dhuluma zote. Utamdangaje mtu ambaye anaona kila mwezi anachopata kwenye salary slip? Hili labda umewaandikia wakulima.
Wafanyakazi hatuhitaji ufafanuzi wa hesabu ambazo ziko kwenye salary slip zetu.
Kama wewe eti kuna watoto wanakuita mama!!Jambo la kushangaza unaweza kukuta huyo aliyetoa habari hizi nae ana watoto wanamuita baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mfanyakazi wa umma au private sector? Mbona yaliyosemwa yote ni ya kweli kodi zimepunguzwa sana!!Sisi wafanyakazi tunajua dhuluma zote. Utamdangaje mtu ambaye anaona kila mwezi anachopata kwenye salary slip? Hili labda umewaandikia wakulima.
Wafanyakazi hatuhitaji ufafanuzi wa hesabu ambazo ziko kwenye salary slip zetu.
"Maaskari na Usalama wa Taifa hawapo upande wetu na watumishi wote hawapo upande wetu na ndio maana tunasema kushinda Uchaguzi huu ni kazi ngumu. " -Tundu Lissu akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari (9/9/2020)
Kumbe mgombea u Nyerere hawezi kutamka Wakurugenzi, nilikuwa sijui. 😂😂Watumishi hao ni Wakurugenzai. Sisi watumishi makabwela tunamuunga mkono Lissu. Tumechoka.
Ushauri wangu kwako, punguza kudanga mwanamke jistiri tuKama wewe eti kuna watoto wanakuita mama!!