Uchaguzi 2020 Waajiri wamuonya Lissu kupotosha kuhusu ajira

Uchaguzi 2020 Waajiri wamuonya Lissu kupotosha kuhusu ajira

Mchange ni malaya wa kisiasa na TAL sio size yake.....yule size yake ni akina Hilda Newton
 
Huyu Habibu Mchange mwenyewe tangia adisco pale UDOM na badae kuja kufukuzwa chadema kwa tuhuma za usaliti mpaka leo yupo kitaa, ajira hana sasa hapo sijui anatetea nini
Uzao wake ni matumizi mabaya ya via vya uzazi
 
Ukiona mtu anatetea huu mfumo wa magu ujue ananufaika kwakiasi kikubwa na huu mfumo. Hivi wewe uje leo kusema watu wamepandishwa mishahara wakati wafanyakazi wanahangaika tu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Habibu Mchange mwenyewe tangia adisco pale UDOM na badae kuja kufukuzwa chadema kwa tuhuma za usaliti mpaka leo yupo kitaa, ajira hana sasa hapo sijui anatetea nini
Anatetea ili apewe u-DC au u-DAS. Mzee baba amesema makazi yako mengi mno akishinda urais! Sijui wale watumishi halisi wanajisikiaje na hili andiko! Sijui vijana waliotoka vyuoni na hawana ajira sijui wanajisikiaje? Tungekuwa nchi za vijana wasomi wanaosota kama Kenya Mchange wangemwokota mto Ruvu hana meno!
 
Huyo msomi wa wapi na amekuwa CEO wa waajiri Tanzania. Ameona salary slip za watu au ameambiwa

Acha kupotosha umma, unaodai wamefanyiwa ni wasomi sio layman ambao unaweza kuwapikia data na kuwashawishi. Leta mada nyingine sio increament na madaraja

Tukuulize hayo waliyofanya wamefanya lini km sio kampeni. Hatuwezi kusahau kwa mwaka mmoja tu ndani ya miaka mitano. Tuna letu Jambo

Mimi, na wategemezi wangu Saba wote ni wapiga kura, nimeshawafafanulia baada ya kupunguza matumizi kuanzia 2015 kutokana na Hali ya kiuchumi na Sababu zilizosababisha. Wamenihadi kura zote kwa Lissu
 
Huyo muhuni wa CCM ndio anajiita Chama cha waajiri? Kamwambie ameshafeli kabla hajaanza!
 
Mchage alianzia Chadema, akahamia ACT sasa kajigeuza muajiri wakati hata chuo kikuu hakumaliza,ni mjanja mjanja flani hivi ambae anaishi kwa kutegemea malipo ya siasa chafu.

Wafanyakazi wana vyama vyao, hivyo ndivyo wasemaji wa watumishi

Sasa wewe Mchange ambae unapiga sana pesa kwa kujipenyeza kwenye system umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watumishi wakati wewe unaishi maisha ya raha na furaha kazi na bata?
 
Nilipoona tu jina Habibu Mchange nikajua ni upuuzi mtupu bila hata kusoma.
 
Huyu Habibu Mchange atakuwa anazungumzia familia yake na Si watumishi wa umma.

Tangu mwaka 2013 Mtu hajapanda daraja.

Watumishi wa Umma tumuambatanishe na Uyu tunapopeleka mashtaka yetu kwa MUNGU dhidi ya Hawa wakoloni weusi🙋
 
Watumishi ni mashaidi hivyo wanajua watakachofanya October, silid kama hiyo inaendelea kuwaumiza pengine zaidi hivyo acha kujambajamba
 
Vilaza wa huko CCM wanajikweza au wanawakweza wenziwao ili wakiunga mkono juhudi waonekane teuzi mbalimbali zinapofanywa. Machinga (peddlers) au mama ntilie (venders) wanawaita wafanya biashara kama akina Mo Dewji au Reginald Mengi (RIP), leo wanaleta mpya wanawaita Chief Executive Officers (CEO). Awamu ya Tano imejaa vichekesho mpaka ofisi za Umma waliko wateuliwa wakinyanyasa wananchi wanyonge.
 
Mnakera zaidi pale mnapojifanya wasemaji wa makundi ya watu nakuongea vitu ambavyo havina mantiki
 
Maandiko ya kipumbavu kama haya apelekee hawala yake. Mwajiriwa gani hajui ushenzi aliofanyiwa tangu 2016?
 
Kimsingi mshahara haujaongezwa kwa kipindi chote cha miaka 5.... Wafanyakazi hili wanalijua na CCM hili wanalijua....msitake kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!

Ukweli ndo Huo....

Over!!!!!
 
Huyu Habibu Mchange mwenyewe tangia adisco pale UDOM na badae kuja kufukuzwa chadema kwa tuhuma za usaliti mpaka leo yupo kitaa, ajira hana sasa hapo sijui anatetea nini
Kapewa usimamizi wa gazeti la Jamvi la Habari ambalo nyuma ya pazia linagharamiwa na serikali, ili kumkashifu Lissu na wapinzani wengine ambao ni threat kwa CCM, sasa naye anajipachika uajiri eti? Hiyo taasisi inayoitwa Young CEO Forum ni taasisi ya kizushi tu! Machange ni mchumia tumbo tu hana maana yoyote!
 
Back
Top Bottom