Uchaguzi 2020 Waajiri wamuonya Lissu kupotosha kuhusu ajira

Hata kama ni kujipendekeza sio kwa kusema uongo ambao ni sawa na usaliti mbele ya watumishi wa umma. Alafu nae baadae atataka kuwatumikia wananchi...
 
Acha tu ndugu yangu. Mimi nahisi niko Darfu maana sio kwa data hizi za Habiba Mchanga. Hivi anajua TAMISEMI wametangaza ajira kwenye mtandao ambao haufunguki? Wanafanya watoto waliotoka vijijini wanalala kwenye makorido ya internet cafe.
Hahaha yaani ccm hapana aisee. Mbona wanatufanya watanzania mafala sana?
 

Vibaraka wa mkoloni Mweusi
 
Mtumieni ile clip Ya Mh Rais akisema hawezi kupandisha mishahara kwani kwake ujenzi wa miundombinu ni muhimu kuliko mishahara.

 
Aibu tupu kwa andiko la kinjaa njaa kama hili.
Jibu hoja unatakiwa kupinga wapi amekoseana na kusema uongo, kisha utoe data zako na wewe na sio kupinda tu.
Mbona tundu lisu anawaongopea mnashangilia bila data, kwa hiyo Mme mkabidhi akiri zenu azisokote?
 
Acha unafiki, na uzandiki
 
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu. Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.

Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.

Na wewe endelea kutumika kwa kusema uongo
 
Naikumbuka hii
Your browser is not able to display this video.
 
Duuuh eti watumishi wa umma wamepata nyongeza ya mshahara? Umma ya Tanzania ama ya wapi?
 
Akili za king'ombe ng'ombe hizi..........sisi ndio hatuna ajira na wazazi wetu hawajaongezewa mishahara sasa ww ni mtoto wa dada usitusemee sisi walala hoi
 
Nilipoona jina la huyo msemaji nikaacha kusoma nikijua ni propaganda tu za kijinga. Hicho chombo anachowakilisha si lolote ni utapeli tu wa kutafuta kuganga njaa. Useless.
 
yaan hii ndo akili ya ceo kijana huu ni umalaya wa kisiasa au wa akili duh my poor kantriii
 
Jibu hoja unatakiwa kupinga wapi amekoseana na kusema uongo, kisha utoe data zako na wewe na sio kupinda tu.
Mbona tundu lisu anawaongopea mnashangilia bila data, kwa hiyo Mme mkabidhi akiri zenu azisokote?
Akili sio akiri
 
Nonsense
 
Watumishi wa Umma wanamhusu vipi huyu mzungumzaji?
 
Hivi suala la ajira kuna mtu ambae halijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…