Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji.
π Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu.
π Watumishi mnajishau sana halafu mnakuja kutusumbua mtaani... kiinua mgongo ni hela ndogo sana kiukweli ...lasivo ulipiga pesa za umma.
π Tanzania hatuwezi kuwa na maendeleo kama wapigaji watendelea kuwepo watu hawapigi kazi wanakimbilia kuajiriwa ππ
π Mfano mdogo sema basi tu..ngoja ninyamaze...