Waajiriwa mkishastaafu mnasumbua sana

Waajiriwa mkishastaafu mnasumbua sana

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji.

📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu.

📌 Watumishi mnajishau sana halafu mnakuja kutusumbua mtaani... kiinua mgongo ni hela ndogo sana kiukweli ...lasivo ulipiga pesa za umma.

📌 Tanzania hatuwezi kuwa na maendeleo kama wapigaji watendelea kuwepo watu hawapigi kazi wanakimbilia kuajiriwa 😁😁

📌 Mfano mdogo sema basi tu..ngoja ninyamaze...
 
Kupanga ni kuchagua.

Naongezea hela ya kustaafis siyo ya kujengea nyumba kama hukujenga mwazoni bas wewe utazeeka na umasikini.
 
Back
Top Bottom