Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

Sijawahi kulipwa tarehe hizo ila work life balance ilikua zerooooooo
 
Mimi kula ,usafiri, bando bure na wanalipa tarehe ya mwisho kabisa ya mwezi.
 
Mazingira mnayoelezea humu ni common kwa dunia nzima,ikishaitwa ajira. Mimi nilichofanya niliweka nia nipige kazi kwa moyo wote kwa 100% ila niwe nachukua ujuzi.Na dua zangu kwa Muumba ilikuwa nikifika miaka 40 niwe aidha na partnership au kujiajiri.Alhamdulillah , nazekea miradi ya partnership ingawa inachukua muda kusimama, inahitaji usahau starehe walizozoea wabongo wengi.
 
Delta

Serikali ingefanya maboresho hasa kwa kufatilia mishahara na stahiki nyingine za wafanyakazi katika sekta binafsi, sekta binafsi zingelipa vizuri. Sekta binafsi ikilipa vizuri itapunguza changamoto nyingi. Wahitimu wengi wanakimbilia serikalini ni kwasababu tu serikali haijaweka mazingira mazuri kwenye sekta binafsi
 
Wewe tu na kampuni yako.
Mshahara 2m+, gari ya kupiga routes.
Kazini kuingia saa 2 asbh, saa 4 tupo nje maana ndiko kazi tunafanya. Saa 10 tushapumzika although muda wa kazi unaisha saa 11.

80,000/= (50,000 accomodation+30,000 out of station ) kila siku ntakayokuwa nje ya kituo cha kazi. Two weeks nje ya mji kila mwezi.

We endelea kutokuwa na afya ya akili. Sasa kuna watu wanakula bata zaidi ya hili.
 
Sio zote mkuu kuna ofisi na ofisi
kuna moja mfagia usafi analipwa 500k take home na anaingia saa mbili kutoka 10 jioni na Dec wana-double,
Muhasibu anakunja 7m+ december anakula 15m+
 
Wewe, unasema ndio maisha ulochagua?
Kijana ukiona una maisha swafi sio Kila mtu Yuko hivo.
Haya nikiacha KAZI hapo nikaamze kutanga Tanga au????
Ukiacha utapata akili mpya, kwahiyo hiyo kazi yako unategemea kuifanya mpaka uzeeni??
 
Unajibrand mkui πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…