Ndugu yangu, nakuunga mkono kabisa, lakini tunarudi palepale, ni asilimia chache sana ambazo utakuta sekta binafsi wanatambua mchango wakooo, we shukuru ulipata sehemu ya watu wanao value kile unafanya
Kuna sekta Ndugu yangu heeeeee,
SEMA kikubwa ni kwamba tutajenhewa uwezo Mkubwa, utakuwa multitask mzuri tu, na ukufanikiwa kutoka hapo ukapanda juu lazima utakuwa na uwezo Mkubwa.
Shida ni kwamba tunapotafuta KAZI hatutafuti tu kujengewa uwezo NO. tunatafuta KAZI kupata pesa ili uwe imara kujijengea uwezo na uwe able kufanya KAZI zako.
Sasa unafanya Kazi, no kupumzika, mshahara utaupata tarehe 39 mpaka 40
Hivi unajenga Nini hapo kama sio kupambana kuondoka.
Kati ya SEKTA binafsi, 90% ni wanoko 10% ndio wanajua Nini wafanyakazi wanahitaji