Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeeee, Embu itagi hiyo sekta binafsi Yako Mkuu.Sekta binafsi ipo vizuri sana na utaona matunda yake kama kichwa chako kiko smart.
Ji 'brand' wajue bila wewe mambo hayaendi, utakopeshwa range, nyumba, na nje utasafiri sana; muhimu je kichwa chako kina madini.
Hilo sindio kubwa Mkuu, au hujaona hapo , bango linajieleza, Maokoto ndio muhimu kwasababu hata kazini hujaenda kutalii umeenda kutafuta MaokotoSema hamlipwi vizuri na kwa wakati. Hapo hata psychologists wakija haisaidii kitu. Nyie changamoto yenu ni maokoto.
shukuru Mungu wewe afya ya akili wengine ni vyote yaani afya ya akili na mwili pia!Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi WA sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu.
Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu.
Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe 40, wenye D mbili tu ndo watanielewa.
Hivi Kwa namna hii utaipenda KAZI unayoifanya kweli? Na hapa Afya ya akili kazini ni uongo.
Embu labda Mimi nakuwa too judgmental, wenzangu mnazingatia Nini ili kuwa attractive na KAZI zenu 😞😞.
Nahisi Kuna UMUHIMU Mkubwa sana WA kuhamasisha Afya ya akili makazini especially SEKTA BINAFS.
Pia tuangalie na fani tulizo soma; kama fani yako anaweza kufanya mtu yeyote, lazima ukubali matokeo.Weeeeee, Embu itagi hiyo sekta binafsi Yako Mkuu.
We shukuru Mungu kama umepata sekta binafsi ya namna hiyo. Weeee Kuna sehemu utakaa utapiga KAZI kama mchwa, na mchango wako wanauona lakini utaishia kutumika tu, utatumiwa nguvu zako weeeee mwisho wa siku hamna faida.
Za namna hiyo ni chache ndugu
Acha kazi ili upate kazi ya kutafuta kazi au acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi, komaa na madeni ila malipo tarehe 60 hio ni zaidi ya balaa mimi nilicha siwezi nikafanya miezi 2 nalipwa mshahara wa mwezi uliopitaWengine tunakaa mpaka saa6 usiku dah, halafu mpaka Leo hata harufu ya mshahara hamna 😡😡
Kama fani gani mtu anabembelezwa kulipwa Mkuu?Pia tuangalie na fani tulizo soma; kama fani yako anaweza kufanya mtu yeyote, lazima ukubali matokeo.
Ila kama fani yako inagusa 'core function' ya kampuni husika, na uko 'productive' tarehe 15 utakuwa unabembelezwa kupokea mshahara.
Ndugu yangu, nakuunga mkono kabisa, lakini tunarudi palepale, ni asilimia chache sana ambazo utakuta sekta binafsi wanatambua mchango wakooo, we shukuru ulipata sehemu ya watu wanao value kile unafanyaSio Sekta binafsi wote wanapitia hiyo changamoto.
Naungana na Wewe kwamba Sekta binafsi sio lelemala, you have to work very hard and be creative
Ukiwa hardworking person, unapata treatment tofauti kidogo na utaionjoi kazi za mikono yako
Nimewahi kufanya kazi Sekta binafsi
Muda wa kuripoti ofisini ni saa 2 asubuhi na kutoka na saa 11 Jioni
Nilikuwa nafanya kazi Kwa bidii utasema ile Kampuni ilikuwa ni ya Mzee wangu.
Mwisho wa Mwaka nikapata tuzo ya Mfanyakazi bora na Mishahara miwili at per kama bonus, pia nilipewa tip ya Kulala Holiday inn hotel Siku moja, Christmas ama New Year
Mshahara tulikuwa tunapokea Kila tarehe 30 ya Kila Mwezi isipokuwa Mwezi February ambapo tulipokea 27/28 na hatujawahi kucheleweshewa mshahara hata Kwa Siku Moja.
Mwaka uliofuata wakaniongezea Mshahara.
Kwaajili ya security na Uhakika wa Maisha nikasema Wacha nijikite kwenye shughuli za Kilimo tu, ndiyo nipo huku hadi leo japo wale Jamaa walinifuata mara kadhaa kutaka nirudi kwenye Kampuni yao, wakinijia na ofa ya kudabo mshahara lakini sikurudi
Kufanya kazi Sekta binafsi kunakufanya uwe active sana, na Kwa baadhi ya Field. Unakuwa more competency baada ya miaka kadhaa, maana wale Jamaa wanatoa training nyingi za ndani na nje ya Nchi.
Well saidPoleni sana aisee Gavoo kidgo wanauhuru wao pesa na uhuru ndo muhimu
Mshahara tarehe 57 huko mpaka tarehe 60 shenzi type boss yeye anatanua tu maminazakeBeen there,it's not easy.
Umeona, na hiyo ndio michezo michafuKuna ofisi kulipwa had umchekeshe boss
😂😂😂😂😂, nimecheka sanaMshahara tarehe 57 huko mpaka tarehe 60 shenzi type boss yeye anatanua tu maminazake
😂😂😂😂😂😂😂😂shukuru \mungu wewe afya ya akili wengine ni vyote yaani afya ya akili na mwili pia!
Mfano:- Afisa masoko anayeweza kuuza kreti 1000 kwa siku, atakuwa sawa na yule anayeuza kreti 100 kwa wiki?Kama fani gani mtu anabembelezwa kulipwa Mkuu?