Agent Smith
Member
- Jul 2, 2026
- 62
- 140
Raia wamelishwa propaganda za wanasiasa. Hili suala la kuwa-demonize graduates wanaotafuta kazi na watu waliojariwa ilikua ni mbinu yao kukwepa lawama za kutengeneza uchumi unaozalisha ajira za kutosha. Wenye akili ndogo wameibeba agenda ya wanasiasa kama ilivyo.Kwa TZ, serikali ina waajiriwa kama laki 8.
Sekta binafsi, ina ajira zenye staha kama laki 2.
Nchi hii ina watu wenye uwezo wa kufanya kazi kama Milioni 30.
Lakini kutwa kucha, wanajdiliwa watu ambao ni kama Milioni 1 tu.
Na hivi vimotivesheni speaker vina njaa kali sana na madeni lukuki.
Mimi ajira yangu, nakagua biashara, nyingi zina njaaa kali saaana.
Mtu anauza duka na yeye anasema kajiajiri ana uhuru, uhuru gani hawezi hata kutoka. Nje ya Wilaya, muda wote ni hapo duka i kwake???
Huna PENSION
Huna Bima
Huna Likizo
Halafu unasema umejiajiri una uhuru, wakati wakipita Manispaa tu hapo kukudai SERVICE LEVY, unakimbia mpaka miguu inagonga CHOGO.
Hapana mkuu nimelenga ile dhana ya uhuru wa kimaamuzi alionao aliyejiajiri, waajiriwa wengi wanaitamani sana ile, coz hata hao walio BOT wako under pressure, kila kitu wanafanya kwa kufuata order, tofauti na mwenye duka la mangi yenye ndo anayetoa orderKwenye thread yako umewafanya walioajiriwa ni villain kwa maana wanawaonea husda ambao wamejiajiri. Hivi mtu yupo deloitte au bot anakamua mzigo wa maana akuonee gere wewe na duka lako la mangi.!
😃😃😃😃😃 nani huyoRaia wamelishwa propaganda za wanasiasa. Hili suala la kuwa-demonize graduates wanaotafuta kazi na watu waliojariwa ilikua ni mbinu yao kukwepa lawama za kutengeneza uchumi unaozalisha ajira za kutosha. Wenye akili ndogo wameibeba agenda ya wanasiasa kama ilivyo.
Kuna motivesheno spika mmoja hivi naskia alishawahi kuwa Tanzania one. Aliwaambia vijana wajiajiri halafu yeye mwenyewe kaomba ajira ya ubunge na kaipata. Sasa hivi ni waziri.
Ni kweli mkuu kila mtu anafanya analoweza, ila waajiriwa wengi hawa middle class wenye sallary za kawaida, wengi wanatamani maisha ya uhuru ya waliojiajiriMkuu achana na hayo mambo..
Baadae njoo pale Sinza kitambaa cheupe tule bia.
Tulishasema kila mtu afanye analoweza yeye..
Unauza duka, genge, winga, Machinga, Saloon, na kazi kama hizo.Raia wamelishwa propaganda za wanasiasa. Hili suala la kuwa-demonize graduates wanaotafuta kazi na watu waliojariwa ilikua ni mbinu yao kukwepa lawama za kutengeneza uchumi unaozalisha ajira za kutosha. Wenye akili ndogo wameibeba agenda ya wanasiasa kama ilivyo.
Kuna motivesheno spika mmoja hivi naskia alishawahi kuwa Tanzania one. Aliwaambia vijana wajiajiri halafu yeye mwenyewe kaomba ajira ya ubunge na kaipata. Sasa hivi ni waziri.
Wanasiasa wanasema hakuna nchi duniani iliyowahi kutoa ajira kwa watu wake wote (of whicj is true) ndo maana vijana wengi sasa watamani kujiajiriMkuu umeiweka vizuri sana, ukicheck takwimu za NBS inasikitisha sana.
Kila mtu afanye anachoona
Hehehe uko sahihiUnauza duka, genge, winga, Machinga, Saloon, na kazi kama hizo.
Huko siyo kujiajiri.
Hizo ni SUVIRVAL SKILLS.
Unapambana tu USIFE NJAA.
Ukiugua wiki 2, tu unakula MTAJI biashara inakufa.
Waajiriwa wengi sana wanajua kujiajiri kulivyo, hivyo huna kitu cha kuwaambia kuhusu uhuru sijui kujituma.Hakuna mahali tumewa demonize, nimeeleza kutokana na mtazamo hasi wa waajiriwa wengi kuhusu uhuru kwa aliyejiajiri
Hahaha unachelewa kuponaKwenye kujiajiri kila mistake au kila macro environment ina madhara. Ukiumwa huwazi afya tu unawaza na biashara, mara wafanyakazi watakuibia kama haupo.
Wale wanawake wanaojiuza pale Kitambaa cheupe usiku, huwa wanaenda wapi mchana?Mkuu achana na hayo mambo..
Baadae njoo pale Sinza kitambaa cheupe tule bia.
Tulishasema kila mtu afanye analoweza yeye..
Umemuelewa lkn mtoa mada?Waajiriwa wengi sana wanajua kujiajiri kulivyo, hivyo huna kitu cha kuwaambia kuhusu uhuru sijui kujituma.
Waliojiajiri wengi hawajui ajira zilivyo, hivyo hawawezi zizungumzia zaidi ya kudai waajiriwa hawana hela na madai kama hayo. Ili muuza duka la jumla awe daktari inabidi akariri mtihani Form 4, apate marks aende Form 6, afaulu vizuri PCB kwa Div. I ya alama walau 7 aende chuo, asome miaka 5 na intern 1, kisha ndio awe MD. Hiyo ni miaka mingapi piga hesabu.
Ili daktari afungue duka la jumla anatakiwa afungue tu.
Muuza spares za pikipiki hata elimu ya la nne inamtosha. Hela aliuza nyumba, alidunduliza, alihongwa, aliiba (na hatari ya kuuwawa) anajua yeye.
Nesi wa kituo cha afya vilevile anaweza uza spares za pikipiki. Anaweza uza nyumba, akadunduliza mshahara, akahongwa, akaiba (hatokuwa hatarini kuchomwa moto, sana sana kuhamishwa kituo au kufutwa kazi ambavyo sijawahi ona anafukuzwa) atajua yeye. Vilevile anaweza kopea mshahara hata 30M.
Kwahiyo ajira kwa mwajiriwa hasa wa serikali au private sector inayojiheshimu ni maamuzi. Ana option ya kabaki nayo tu, kufanya vyote au kuacha akajiajiri.
Hii narrative ya kupangia watu waishije ni dalili ya kutojua kipato kinaendeshwaje. Elon Musk, Jeff Bezos, Mark Zuckerberg wote ni waajiriwa na wamejiajiri vilevile. Mfano Musk kwenye Tesla anamiliki roughly 20% hizo 80% wamemuajiri kama unabisha mwambie afanye maamuzi binafsi kichwa kichwa uone kama Board of Directors au shareholders watamuacha pale juu. Au wakose imani kwake wauze hisa zote abaki na utajiri wa makaratasi.
Unachanganya vitu viwili tofauti kabisa; ujuzi wa taaluma na uwezo wa kuendesha biashara.Waajiriwa wengi sana wanajua kujiajiri kulivyo, hivyo huna kitu cha kuwaambia kuhusu uhuru sijui kujituma.
Waliojiajiri wengi hawajui ajira zilivyo, hivyo hawawezi zizungumzia zaidi ya kudai waajiriwa hawana hela na madai kama hayo. Ili muuza duka la jumla awe daktari inabidi akariri mtihani Form 4, apate marks aende Form 6, afaulu vizuri PCB kwa Div. I ya alama walau 7 aende chuo, asome miaka 5 na intern 1, kisha ndio awe MD. Hiyo ni miaka mingapi piga hesabu.
Ili daktari afungue duka la jumla anatakiwa afungue tu.
Muuza spares za pikipiki hata elimu ya la nne inamtosha. Hela aliuza nyumba, alidunduliza, alihongwa, aliiba (na hatari ya kuuwawa) anajua yeye.
Nesi wa kituo cha afya vilevile anaweza uza spares za pikipiki. Anaweza uza nyumba, akadunduliza mshahara, akahongwa, akaiba (hatokuwa hatarini kuchomwa moto, sana sana kuhamishwa kituo au kufutwa kazi ambavyo sijawahi ona anafukuzwa) atajua yeye. Vilevile anaweza kopea mshahara hata 30M.
Kwahiyo ajira kwa mwajiriwa hasa wa serikali au private sector inayojiheshimu ni maamuzi. Ana option ya kabaki nayo tu, kufanya vyote au kuacha akajiajiri.
Hii narrative ya kupangia watu waishije ni dalili ya kutojua kipato kinaendeshwaje. Elon Musk, Jeff Bezos, Mark Zuckerberg wote ni waajiriwa na wamejiajiri vilevile. Mfano Musk kwenye Tesla anamiliki roughly 20% hizo 80% wamemuajiri kama unabisha mwambie afanye maamuzi binafsi kichwa kichwa uone kama Board of Directors au shareholders watamuacha pale juu. Au wakose imani kwake wauze hisa zote abaki na utajiri wa makaratasi.
Jamaa anachanganya madesa kabisaUmemuelewa lkn mtoa mada?
Ulichokiandika hakiendani na mantiki ya mtoa mada.
Main point ya mtoa mada ni hii.
" walioajiriwa wanatamani uhuru wa waliojiajiri"
"Walioajiriwa wanadhani aliyejiajiri yuko huru na furaha wakati ukweli hauko hivyo"
"Walioajiriwa wanadhani kujiajiri ni rahisi wakati sio kweli"
Mwisho wa siku ni rahisi kupata degree ya udactari kuliko kuweza ku manage car wash tu iliyopo city center ikuletee mafanikio.
Badala ya upumbavu wa kuona wengine, wamepotea wabongo tungekuwa tumejifunza kufanya kazi pamoja na tuna uaminifu hao walioajiriwa wangewekeza sana mitaji kwa hao wanaojiita wamejiajiri, na kubusti mitaji.Waajiriwa wengi sana wanajua kujiajiri kulivyo, hivyo huna kitu cha kuwaambia kuhusu uhuru sijui kujituma.
Waliojiajiri wengi hawajui ajira zilivyo, hivyo hawawezi zizungumzia zaidi ya kudai waajiriwa hawana hela na madai kama hayo. Ili muuza duka la jumla awe daktari inabidi akariri mtihani Form 4, apate marks aende Form 6, afaulu vizuri PCB kwa Div. I ya alama walau 7 aende chuo, asome miaka 5 na intern 1, kisha ndio awe MD. Hiyo ni miaka mingapi piga hesabu.
Ili daktari afungue duka la jumla anatakiwa afungue tu.
Muuza spares za pikipiki hata elimu ya la nne inamtosha. Hela aliuza nyumba, alidunduliza, alihongwa, aliiba (na hatari ya kuuwawa) anajua yeye.
Nesi wa kituo cha afya vilevile anaweza uza spares za pikipiki. Anaweza uza nyumba, akadunduliza mshahara, akahongwa, akaiba (hatokuwa hatarini kuchomwa moto, sana sana kuhamishwa kituo au kufutwa kazi ambavyo sijawahi ona anafukuzwa) atajua yeye. Vilevile anaweza kopea mshahara hata 30M.
Kwahiyo ajira kwa mwajiriwa hasa wa serikali au private sector inayojiheshimu ni maamuzi. Ana option ya kabaki nayo tu, kufanya vyote au kuacha akajiajiri.
Hii narrative ya kupangia watu waishije ni dalili ya kutojua kipato kinaendeshwaje. Elon Musk, Jeff Bezos, Mark Zuckerberg wote ni waajiriwa na wamejiajiri vilevile. Mfano Musk kwenye Tesla anamiliki roughly 20% hizo 80% wamemuajiri kama unabisha mwambie afanye maamuzi binafsi kichwa kichwa uone kama Board of Directors au shareholders watamuacha pale juu. Au wakose imani kwake wauze hisa zote abaki na utajiri wa makaratasi.
Mkuu hapa watakuja kukupinga sanaNakubaliana na hoja hii nzuri
Ajira haukuwa mpango wa Mungu
Binadamu aliumbwa afanye kazi, ajitautie kipato aidha awe mkulima, mfugaji, mvuvi, muwindaji. au shughuli nyingine yoyote inayoweza kumpa chakula chake na familia yake.
Wajanja walioweza kuwa na akiba waliwakamata wavivu na wakawaajiri na huo ndiyo mwanzo wa utumwa
SIna maana kwamba waajiriwa ni wavivu au ni watumwa ila ideally huo ndiyo mwanzo wa mifumo ya ajira na utumwa
Biashara ni kipaji kama ilivyo kupika na kuimba. Kwahiyo haimaanishi mtu akiishia la saba, au kidato cha nne basi automatically anaweza biashara.Unachanganya vitu viwili tofauti kabisa; ujuzi wa taaluma na uwezo wa kuendesha biashara.
Kuwa daktari, nesi au mhandisi hakumaanishi moja kwa moja unaweza kuwa mfanyabiashara mzuri. Ndiyo maana tunaona madaktari, wahandisi na watu wenye degree nyingi wakifungua biashara na zikafungwa ndani ya muda mfupi. Kwa sababu biashara ina kanuni zake tofauti na taaluma.
Na pia, tuheshimu watu ambao hawakubahatika kufika vyuoni. Wapo walioishia la saba au form four, lakini leo wamejenga kampuni na wameajiri watu wenye Master's, Degree na PhD. Hiyo haimaanishi elimu haina thamani, bali inaonyesha kwamba biashara ni taaluma inayojitegemea, na mafanikio yake hayatokani na kiwango cha elimu pekee.
Pia hoja yangu haikuwa kwamba waajiriwa hawawezi kujiajiri. Nilichosema ni kwamba watu wengi wanauona uhuru wa kujiajiri kwa mbali bila kuona gharama zake.
Kujiajiri si kwenda dukani kufungua mlango tu. Ni kukubali kubeba presha zote peke yako. Ukiumwa mapato yanapungua. Ukilala biashara inaweza kulala. Hakuna mshahara wa mwisho wa mwezi uliohakikishwa. Hakuna paid leave. Hakuna pension ya kusubiri. Hakuna gratuity. Hakuna mtu wa kukulipa ukifanya hasara.
Ndio maana kujiajiri kunaambatana na sacrifice ambazo mara nyingi hazionekani kwa macho. Unaweza kufanya kazi saa 14 kwa siku kwa miaka kadhaa ukijenga biashara ambayo bado haijakupa utulivu wa kifedha.
Kwa hiyo hoja yangu haikuwa kupangia watu maisha. Ilikuwa kueleza kwamba kabla mtu hajavutiwa na uhuru wa kujiajiri, ajue pia uzito wa jukumu analokwenda kulibeba. Uhuru upo, lakini una gharama zake.
Nimefurahi kwa sehemu umekubali kwamba biashara si kitu kinachokuja automatically kwa sababu tu una elimu, bali inahitaji uwezo na vipaji ambavyo si kila mtu anavyo. Hapo ndipo nilipokuwa nataka kufika.Biashara ni kipaji kama ilivyo kupika na kuimba. Kwahiyo haimaanishi mtu akiishia la saba, au kidato cha nne basi automatically anaweza biashara.
Pia haimaanishi mtu akiwa na Degree au Diploma basi automatically atafeli alifanya biashara.
Huyo Daktari, Mhandisi au Nesi anaweza fanya biashara hizo za uchuuzi sijui kufunga mzigo at any time. Ila huyo mfunga mzigo kama kaishia la saba hawezi kuwa Nesi au Mhandisi.
Sasa nani ana advantage hapo. Hayo mambo ya uzoefu si yeyote anaweza tafuta uzoefu.