Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo
Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote.
Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO
Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti
Viongozi WA halmashauri wote wanalipwa per Diem kukesha kwenye Mwenge
Mawaziri na viongozi wakuu wa kisekta wanalipwa stahiki za mabilioni waweze kusafiri kwenda kuwasha na kuzima Mwenge
Huyu mtumishi WA chini ambaye salary haitoshi anatozwa pesa ya Mwenge Kwa ajili ya matumizi ya Nani? Kwanini tusingewachangisha Kwa ajili ya maendeleo tunawachangisha Kwa ajili ya Kula?