Siyo kweli kwamba watumishi wa kada zote Wanachangishwa, wewe utakuwa ni mwanaccm asiye mtumishi.
Wapi ulisikia madktari, wanasheria, wahandisi, nk Wana changishwa fedha za mwenge. Weka barua za kuchangishwa kwa kada zingine kama zinavyotiririka humu jf za walimu kwa kila msimu wa mwenge.
Ukweli ni kwamba serikali inawaonea Sana walimu na ni dharau ya kiwango cha juu, Ni kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo walimu walipata ahueni. Kwa sasa wanasiasa wengi wa ccm wamewageuza walimu kama dekio.
Ktka hili Rais na waziri mkuu wawape mwongozo mpya juu ya mienendo ya wanasiasa kwa walimu.