OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa nini wanachanga? Kama ni jambo la kitaifa kwa nini wachange wao tu. Kwa nini rais wote wasichange?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada kaandika kisiasa Ili kuwavutia watu waje katika uzi wake Kwa kumtaja mwalimuKwa nini wanachanga? Kama ni jambo la kitaifa kwa nini wachange wao tu. Kwa nini rais wote wasichange?
Si wachukue hela iliyozidi ya ndege! Mi ni mwl ila sifanyagi huo upuuzi. Kama hawana hela ya kuugharamia wakauweke makumbusho. Hii nchi ina laana kubwa Sana! Kwanza ni nchi gani duniani ina mwenge? Watu wanafikiria kwenda mwezini wengine ni mwenge! Halafu kila sehemu unalala ni uasherati na uzinzi tu!Kuwa mwalimu nchi hii ni laana?
Pamoja mkuuSi wachukue hela iliyozidi ya ndege! Mi ni mwl ila sifanyagi huo upuuzi. Kama hawana hela ya kuugharamia wakauweke makumbusho. Hii nchi ina laana kubwa Sana! Kwanza ni nchi gani duniani ina mwenge? Watu wanafikiria kwenda mwezini wengine ni mwenge! Halafu kila sehemu unalala ni uasherati na uzinzi tu!
Halafu kuna nyingine iko ChinaSi wachukue hela iliyozidi ya ndege! Mi ni mwl ila sifanyagi huo upuuzi. Kama hawana hela ya kuugharamia wakauweke makumbusho. Hii nchi ina laana kubwa Sana! Kwanza ni nchi gani duniani ina mwenge? Watu wanafikiria kwenda mwezini wengine ni mwenge! Halafu kila sehemu unalala ni uasherati na uzinzi tu!
Tena hakuna mtu anayelipwa perdiem siku ya ukimbiza mwenge. Watendaji wanachanga, afya wanachanga, kila mtu anachangaMleta mada kaandika kisiasa Ili kuwavutia watu waje katika uzi wake Kwa kumtaja mwalimu
Ila ngazi ya Halmashauri watumishi wote wanachangia
Bora uwe bodaboda mpaka walimu wakike unawakopa lifuti mnalipana kisela... walimu weeengi mishahara yao kiduchu,wanapelekeshwa,wanadharauliwa,wamejawa madeni,wanapanga kachumba na kodi hawamudu kwakweli nikada yakuonea huruma 😌Kuwa mwalimu nchi hii ni laana?
Tena walimu inatakiwa wachangishwe au wakate nusu mshahara nchi nzima.Acha wachangishwe maana hao ndio wanasimamia na kupitisha majizi kipindi cha kupiga kura.mbaya zaidi wakishapata nyadhifa zao wanawatekekeza kama hivyo
Hiyo ni ibada ya kishetani mzee, hivyo kula, kunywa, kucheza na kufanya ngono kwenye eneo ambalo mwenge umelala ndo mambo yanayoendana na ibada hiyo.Si wachukue hela iliyozidi ya ndege! Mi ni mwl ila sifanyagi huo upuuzi. Kama hawana hela ya kuugharamia wakauweke makumbusho. Hii nchi ina laana kubwa Sana! Kwanza ni nchi gani duniani ina mwenge? Watu wanafikiria kwenda mwezini wengine ni mwenge! Halafu kila sehemu unalala ni uasherati na uzinzi tu!
Tatizo watz wengi walioko nje ya kada ya ualimu wanajiona werevu mno na kuwaona walimu sio werevu ,unakuta hata muendesha mkokoteni nae anamcheka mwalimuIfike mahala Walimu wapumzishwe.
Hiyo michango ni watumishi wote wanachangishwa hadi wafanya biashara.sasa kwanini heading iwe walimu tu.
Hapa tuulizane hizo pesa ni za nini na zinaenda wapi?na sio kuwatanguliza walimu
Acheni ushabiki usio na tija nchi hii kila kada hawakosekani watu wenye maisha ya hovyo hao madr mbona kuna waliochoka huko vijijini ,maafisa ugani hao hamuwaoni ? Eti bora kua bodaboda kuliko kua mwalimu ,inamaana mmachinga,konda,mkulima,ombaomba ,masjala,secretaries hawa wana maisha bora kuliko walimu ? ,ninapofanyia kazi halmashauri yetu kuna mwalimu anamiliki mabasi mwingine ana petrol station na suala la kuchangia mwenge ni watumishi wote wa halmashauri sio walimu tuBora uwe bodaboda mpaka walimu wakike unawakopa lifuti mnalipana kisela... walimu weeengi mishahara yao kiduchu,wanapelekeshwa,wanadharauliwa,wamejawa madeni,wanapanga kachumba na kodi hawamudu kwakweli nikada yakuonea huruma [emoji18]
Mkuu uko kada gani,inamaana nchi hii wakulima,wamachinga,makonda,bodaboda,wauza maji,mafundi viatu ,secretaries ,masjala wanamaisha bora kuliko walimu ? ,eti walimu ndio kada ya kuonea huruma kuliko zote unajua mshahara wa mwalimuBora uwe bodaboda mpaka walimu wakike unawakopa lifuti mnalipana kisela... walimu weeengi mishahara yao kiduchu,wanapelekeshwa,wanadharauliwa,wamejawa madeni,wanapanga kachumba na kodi hawamudu kwakweli nikada yakuonea huruma [emoji18]
Mkuu nadhani mngefurahi kuona kuna watu wanawasemea, vinginevyo watu wakipiga kimya na hicho chama chenu ndo hivyo tena watawala wanaweza kutumia advantage na kuendelea kukandamiza maslahi ya walimu, maana idadi ya walimu ni kubwa na watawala hawako tayari kuweka maslahi bora ya walimu ili kukwepa fungu la mishahara kwenda juu na kupunguza pesa zao za kulamba asali na kujipimia. Ila ni kweli watumishi wote wa umma mishahara yao ni ileile tu haina tofauti, sema walimu wanasikika sana sababu ni wengi.Tatizo watz wengi walioko nje ya kada ya ualimu wanajiona werevu mno na kuwaona walimu sio werevu ,unakuta hata muendesha mkokoteni nae anamcheka mwalimu
Hizokada nyingine hatuhangaiki na elimu mpaka mavyuo huko kamanyie!!Mkuu uko kada gani,inamaana nchi hii wakulima,wamachinga,makonda,bodaboda,wauza maji,mafundi viatu ,secretaries ,masjala wanamaisha bora kuliko walimu ? ,eti walimu ndio kada ya kuonea huruma kuliko zote unajua mshahara wa mwalimu
Petrol station alafu bado ticha??Acheni ushabiki usio na tija nchi hii kila kada hawakosekani watu wenye maisha ya hovyo hao madr mbona kuna waliochoka huko vijijini ,maafisa ugani hao hamuwaoni ? Eti bora kua bodaboda kuliko kua mwalimu ,inamaana mmachinga,konda,mkulima,ombaomba ,masjala,secretaries hawa wana maisha bora kuliko walimu ? ,ninapofanyia kazi halmashauri yetu kuna mwalimu anamiliki mabasi mwingine ana petrol station na suala la kuchangia mwenge ni watumishi wote wa halmashauri sio walimu tu
Mimi sitegemei mshahara ndugu ninakopesha pesa kwa mwezi almost nakopesha sio chini ya milioni tano na riba inaingia mil 1.5Hizokada nyingine hatuhangaiki na elimu mpaka mavyuo huko kamanyie!!
Mwalimu vitoto vinajikojolea/vinajinyea,vinatapika mnasafisha,vinalia mnavibeba mgongoni,vinawajambia mnacheka,havijui kitu mnahangaika alafu mshahara aftatu... pole mwalimu wa zamu naona umeumia na ukweli!
kama hapo ulipo hudaiwi madukani sema suu ticha!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
endeleeni kuchomekea nalichama lenu cwt lakiboya haliwatetei linawaibia.
Nlipita huko nkakopa nkakimbia 10 yrs ago! Saiv naishi free hiyo nikazi ya kislavery sn...
Njoo handeni mkuu usibishe kuna mwalimu anaitwa kipacha anamiliki mabasi yanaitwa kipacha yanatoka handeni-dar amefanya ualimu mpaka amestaafu mwaka juzi usibishe mkuuPetrol station alafu bado ticha??
Uongoo..uongo huoooo...uongo bhana!![emoji1]
Ifike mahala Walimu wapumzishwe.
Hiyo michango ni watumishi wote wanachangishwa hadi wafanya biashara.sasa kwanini heading iwe walimu tu.
Hapa tuulizane hizo pesa ni za nini na zinaenda wapi?na sio kuwatanguliza walimu
Siyo kweli kwamba watumishi wa kada zote Wanachangishwa, wewe utakuwa ni mwanaccm asiye mtumishi.Ifike mahala Walimu wapumzishwe.
Hiyo michango ni watumishi wote wanachangishwa hadi wafanya biashara.sasa kwanini heading iwe walimu tu.
Hapa tuulizane hizo pesa ni za nini na zinaenda wapi?na sio kuwatanguliza walimu
Anatumika huyo mabasi sioyake binafsi... umiliki mabasi afu ukakae unaendeshwa na kengele na vijikuu vijinga!! Uendelee kufundisha elimu hii yakukaririshana!!! Siyakee chunguza vizuriNjoo handeni mkuu usibishe kuna mwalimu anaitwa kipacha anamiliki mabasi yanaitwa kipacha yanatoka handeni-dar amefanya ualimu mpaka amestaafu mwaka juzi usibishe mkuu