Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Acha wachangishwe maana hao ndio wanasimamia na kupitisha majizi kipindi cha kupiga kura.mbaya zaidi wakishapata nyadhifa zao wanawatekekeza kama hivyoHii nchi kila kona inanuka wizi tu na upigaji.
Ni shida sanaKuwa mwalimu nchi hii ni laana?
Zinanunua pombeWatumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo
Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote.
Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO
Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti
Viongozi WA halmashauri wote wanalipwa per Diem kukesha kwenye Mwenge
Wasaidie sasa Acha kuwakejeli wamekufundisha,wanafundisha watoto wako Acha kuwa na roho mbayaAcha wachangishwe maana hao ndio wanasimamia na kupitisha majizi kipindi cha kupiga kura.mbaya zaidi wakishapata nyadhifa zao wanawatekekeza kama hivyo
Tumeikuta,na tunaiendelezaWatumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo
Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote.
Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO
Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti
Viongozi WA halmashauri wote wanalipwa per Diem kukesha kwenye Mwenge
Mawaziri na viongozi wakuu wa kisekta wanalipwa stahiki za mabilioni waweze kusafiri kwenda kuwasha na kuzima Mwenge
Huyu mtumishi WA chini ambaye salary haitoshi anatozwa pesa ya Mwenge Kwa ajili ya matumizi ya Nani? Kwanini tusingewachangisha Kwa ajili ya maendeleo tunawachangisha Kwa ajili ya Kula?
Relax mkuu,Ile sumu aliyoipanda mpwayungu village humu Kwa karibu mwaka sasa ishaene humu na kuwadhuru watu wengiIfike mahala Walimu wapumzishwe.
Hiyo michango ni watumishi wote wanachangishwa hadi wafanya biashara.sasa kwanini heading iwe walimu tu.
Hapa tuulizane hizo pesa ni za nini na zinaenda wapi?na sio kuwatanguliza walimu
Nani kasema!?Kuwa mwalimu nchi hii ni laana?
Naona unatafuta attention kupitia walimuWatumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo
Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote.
Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO
Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti
Viongozi WA halmashauri wote wanalipwa per Diem kukesha kwenye Mwenge
Mawaziri na viongozi wakuu wa kisekta wanalipwa stahiki za mabilioni waweze kusafiri kwenda kuwasha na kuzima Mwenge
Huyu mtumishi WA chini ambaye salary haitoshi anatozwa pesa ya Mwenge Kwa ajili ya matumizi ya Nani? Kwanini tusingewachangisha Kwa ajili ya maendeleo tunawachangisha Kwa ajili ya Kula?
Hata ungesimamia wewe ungefanya nini!?Acha wachangishwe maana hao ndio wanasimamia na kupitisha majizi kipindi cha kupiga kura.mbaya zaidi wakishapata nyadhifa zao wanawatekekeza kama hivyo
Watu wamekaliliHii nazn ni kote kuanzia mapolis na watumish wote chin ya HALMASHAURI