Waalimu wachangishwa pesa ya Mwenge; bajeti ya Mwenge inafanya kazi?

mbona umeandika walimu wakt umesema watumishi wa umma ina maana watumishi wa uma ni walimu tu.au?
 
Hongera mwalimu usikubali upigaji huo unaoprocessiwa na vikundi vya wapigaji ndani ya halmashauri .Mtumishi yeyote ndani ya halmashauri asipotoa huo mchanga atakuwa hajakiuka kifungu chochote kilicho katika standing order na hawana cha kumfanya licha ya kwamba vitisho vya mbwa kibogoyo vitakuwa si haba ni msimamo tu
 
Tena hakuna mtu anayelipwa perdiem siku ya ukimbiza mwenge. Watendaji wanachanga, afya wanachanga, kila mtu anachanga
Watu ni majasiri mtumishi wa kada ya chini utoe hela ambayo itakusaidia kupambana na mfumuko wa bei (inflation)hasa vyakula mfano mchele bei imekuwa kubwa mpaka wali kimekuwa chakula cha anasa halafu uwape hela viongozi wa juu halmashauri!For what?
 
Watumishi wote wa halmashauri wanachangia ,walimu ,madr ,nesi ,masjala,secretari,afisa ugani,watendaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watumishi wote wa halmashauri wanachangia ,walimu ,madr ,nesi ,masjala,secretari,afisa ugani,watendaji
Narudia tena siyo watumishi wote. Nina uhakika maana wa 100% hata hao walimu ni baadhi ya wilaya tu. Ndiyo tunashauri Rais na waziri mkuu waingilie Kati suala hili maana linawachonganisha walimu na serikali hii na utafika muda itakuja igharimu serikali.
 
Kwani ni Leo.....acha wachangishwe yaani ni WA hovyoooo sana kwenye misimamo
Muda wa kura wanatumike kuiboa ccm kura na kupinga upinzani
 
Lakn hapa Si walimu ndio wanachangia mwenge...wametaja wameelekeza shule husika ndio inachangia...tena Hela inayochangiwa nikidonyooo Wala hata...ni sawa tu Jenga taifa
 
Andaeni limu za kutosha hao watumishi wajieleze kwani hali ya michango itakuwa mbaya .Baneni sana akina dada watumishi wa kiume watakaotoa watakuwa wachache sana .Ushauri wangu ingizeni kwenye mfumo wakatwe automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…