Watakuja watasema wewe ni motivesheno spika..u nailed!šVijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo.
Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia.
Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi.
Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa anafanya jaribio la balbu alijaribu mara zaidi ya 1000 ndo akafanikiwa.
Ingekuwa hivi leo angeambiwa mbumbumbu lakini alifanikiwa hakukata tamaa.
Alipoulizwa ulijisikiaje kufeli mara 1000 katika jaribio lako hilo akajibu "sio kwamba nilifeli mara 1000 bali uvumbuzi huu wa balbu umepitia katika hizo steps 1000"
Akimaanisha kuwa zile mara 1000 ni steps sio kufeli.
Siri ya ugenius ni juhudi na kutokana tamaa,ingekuwa ugenius upo kama tunavyoufasiri sisi basi huyu jamaa ingekuwa mara 2 au 3 taa ishawaka lakini hakukata tamaa.
Kuna jamaa alikuwa anashika namba nzuri class yeye wa kwanza tu lakini alikuwa anaamka saa 9 usiku anasoma mpaka saa 12 asubuhi huku washika mkia wamelala alafu mwishoni jamaa anawaburuza wanaamini ni genius kumbe alitumia juhudi binafsi.
Kuna mkoja nilioata historia yake alikuwa katika top three ya tanzania bora jamaa wiki kabla ya necta hakulala alikuwa anasoma tu alafu watu wnaamini ni genius.
Mwimgine alipomaliza mtihani wa taifa akaenda kumalizia topics za form four wakati keshamaliza.
Ugenius unaanza na kujituma na kutokana tamaa,tuwajenge katika dhana hii vijana wetu wasikubali tu kwamba kuna watu maalumu magenius.
Kuna lecturer mmoja pale Mwalimu Nyerere alikuwa akifundisha anawasimulia wanafunzi kwamba dah aisee yule mista fulani nilikuwa napiga nae msuli usiku chuo hatari, alafu jamaa wamegonga G.P.A za juu sana.
Ukitaka ugenius kwanza usikate tamaa, pili uwe na juhudi.
Kuna tafiti nyingi sana zilifanyiwa majaribio mara kibao mwanzo zikafeli lakini watafiti hawakukata tamaa katu.
Tuwafundishe hivi vijana wetu.
Hahaha huu umotivesheni wangu ndio umemtoa kijana wangu kutoka kuwa top 20 ya watu wa mwisho darasani mpaka kuja kuwa top 3 ya watu bora darasani.Watakuja watasema wewe ni motivesheno spika..u nailed!š
I lov this!Hahaha huu umotivesheni wangu ndio umemtoa kijana wangu kutoka kuwa top 20 ya watu wa mwisho darasani mpaka kuja kuwa top 3 ya watu bora darasani.
Motivesheni ni kitu kina power kubwa sana.
Lakini tu iwe motivesheni yenye reality kabisa
Absolutely ! Nakubaliana na wewe kuwa juhudi binafsi inahitajika.Vijana wengi wanaosoma husema fulani genius anafaulu sana, huku wakiamini kashushiwa na Mungu huo uwezo.
Nimewapiga stop ndugu zangu wasiamini hii nadharia.
Waambieni kuwa ugenius hauji bure bure tu unakuja kwa juhudi haswa tena juhudi.
Niliwahi kuwaambia ndugu zangu kuwa mtaalamu aliyekuwa anafanya jaribio la balbu alijaribu mara zaidi ya 1000 ndo akafanikiwa.
Ingekuwa hivi leo angeambiwa mbumbumbu lakini alifanikiwa hakukata tamaa.
Alipoulizwa ulijisikiaje kufeli mara 1000 katika jaribio lako hilo akajibu "sio kwamba nilifeli mara 1000 bali uvumbuzi huu wa balbu umepitia katika hizo steps 1000"
Akimaanisha kuwa zile mara 1000 ni steps sio kufeli.
Siri ya ugenius ni juhudi na kutokana tamaa,ingekuwa ugenius upo kama tunavyoufasiri sisi basi huyu jamaa ingekuwa mara 2 au 3 taa ishawaka lakini hakukata tamaa.
Kuna jamaa alikuwa anashika namba nzuri class yeye wa kwanza tu lakini alikuwa anaamka saa 9 usiku anasoma mpaka saa 12 asubuhi huku washika mkia wamelala alafu mwishoni jamaa anawaburuza wanaamini ni genius kumbe alitumia juhudi binafsi.
Kuna mkoja nilioata historia yake alikuwa katika top three ya tanzania bora jamaa wiki kabla ya necta hakulala alikuwa anasoma tu alafu watu wnaamini ni genius.
Mwimgine alipomaliza mtihani wa taifa akaenda kumalizia topics za form four wakati keshamaliza.
Ugenius unaanza na kujituma na kutokana tamaa,tuwajenge katika dhana hii vijana wetu wasikubali tu kwamba kuna watu maalumu magenius.
Kuna lecturer mmoja pale Mwalimu Nyerere alikuwa akifundisha anawasimulia wanafunzi kwamba dah aisee yule mista fulani nilikuwa napiga nae msuli usiku chuo hatari, alafu jamaa wamegonga G.P.A za juu sana.
Ukitaka ugenius kwanza usikate tamaa, pili uwe na juhudi.
Kuna tafiti nyingi sana zilifanyiwa majaribio mara kibao mwanzo zikafeli lakini watafiti hawakukata tamaa katu.
Tuwafundishe hivi vijana wetu.
ulikuwepo ?jaribio la balbu alijaribu mara zaidi ya 1000
Kabisa mkuu.Kuna Dr. Rudolf Diesel aliyeinvent Diesel Engine alikomaa mno na aliwahi fanya jaribio engine ika blast akalazwa miezi hospitali ila alipona akarejea tena kuendelea hatimaye mwishoni dunia ikapata DIESEL ENGINE.
Pole kwa msiba mkuuUzi mzuri sana mwandishi.
Kazi iliyobaki ni kutekeleza tuliyoongea humu.
Tukaze buti,tusaidiane,tusioneane wivu bila kusahau kumuomba Mungu.
Naamini tutafika sehemu nzuri.
Ahsante.Pole kwa msiba mkuu
Angalieni ccm msipate bipolar...kuna mmoja humu ashaipata..kila comment anaomboleza tu...again Poleni...twende na Samia!mother of the Nationalš! Mama amenyooka hatariš„µAhsante.
Yamepita na maisha yasharudi kawaida sasa.
Kazi iendelee.
Anajitahidi mama yetu.Namuamini japo ana muda mchache.Angalieni ccm msipate bipolar...kuna mmoja humu ashaipata..kila comment anaomboleza tu...again Poleni...twende na Samia!mother of the Nationalš! Mama amenyooka hatariš„µ
Kinachopimwa ni mafanikio ambayo kayapata mtu na wala sio nini anapitia.Hardworking beats talent when talent doesn't work hard.
Mfano tazama Messi na Ronaldo. Mmoja anazeekea Barca na mwingine amecheza ligi zaidi ya 3.