Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

Thomas Edison failed 10000 times....lakini hakukata tamaa...mtu akilima nyanya akifeli..anahamia kwenye vitunguu..akifeli anahamia kwenye sungura..mpaka miaka 45 hii hapa...anakua jack of all trades
Anakuwa ni mtu wa biashara zote lakini ni mtu wa mafanikio zero.

😀😀😀😀
 
Thomas Edison failed 10000 times....lakini hakukata tamaa...mtu akilima nyanya akifeli..anahamia kwenye vitunguu..akifeli anahamia kwenye sungura..mpaka miaka 45 hii hapa...anakua jack of all trades
Kumbe ni mara 10000 sio 1000 mkuu ?
 
Kinachopimwa ni mafanikio ambayo kayapata mtu na wala sio nini anapitia.

Ukiwa hutumii nguvu kubwa kwa sababu ya talent yako ukawa umetengeneza ndara,alafu mwingine ambaye hana talent akatengeneza ndege bado huyu wa ndege ataleta matokeo zaidi ya huyu aliyetengeza makubazi ya kutembelea.

Mkuu msemo wako wa kizungu sijauelewa vizuri haya ni maoni yangu tu mkuu.
Sawa mkuu. Umeongelea mfano wa kutengeneza ndege na ndala ila mimi nimetoa mfano wa watu walio katika tasnia moja ya soccer. It's okay anyway.
 
Sawa mkuu. Umeongelea mfano wa kutengeneza ndege na ndala ila mimi nimetoa mfano wa watu walio katika tasnia moja ya soccer. It's okay anyway.
Sahihi mkuu.

Lakini bado usije ukawema mentality ya kipaji mbele ya juhudi.

Huyo anayecheza ligi zaidi ya moja hujui anachofanya behind the scene.

Aliwahi kusema husein bolt kwamba "behind the scene is where the work is done"

Maadamu hujui anavyoishi basi usijiamini sana kusema ana kipaji yule ati kwa kuwa huoni jihudi zake hadharani laa haasha,kuna watu wanafanya sirini sana alafu matokeo yao ndo yanakuja kuonekana.

Anord schwaznegger wakati alipokuwa ana malengo ya kuwa body builder alikuwa akitoka kwenye mambo yake anatumia zaidi ya masaa manne kufanya jambo ambalo baadae anataka kuwa.

Nidhamu ya hali ya juu sana,aliyafanya haya yote behind the scene..

Hivyo ni ngumu sana kusema fulani ana kipaji yule.

Kuna mwalimu mmoja alikuwa ananifundisha pathology siku moja tuko class akasema "ukiona hujaelewa jambo basi jua unazo akili sana manake akili yako imesema hapa hapana sijaelewa manake ni akili huru inayochambua mambo"
 
Mkuu hakuna genious anayehangaika kupiga msuli hadi kuloweka miguu kwenye maji, labda genius wa mabox. Wakati wengine watakaa masaa 24 kuweza kuelewa, genius atatumia hardly nusu saa ku-digest na kuelewa the same content.....
 
Nimeshajibu huko juu mkuu alafu unarudia the same hoja.
 
Umejibuje?
Nimekupa evidence juu ya watu ambao walisifika vipanga na struggle walizozifanya.

Mfano aliyefanya majaribio ya balbu angejiamini kama yeye genius kwamba akifanys mara mbili tatu tu anafanikiwa basi angeacha tafiti ya bulb kwa sababu angeamini haiwezekani,lakini akajitahidi akafanya mara kibao.

Huu ni mfano mdogo tu kuwa hata darasani mtu ukiona anaelewa kitu mapema basi ujue kuna concept anayo ambayo imemuwezesha kuelewa jambo hilo,au kuna lugha anatumia mwalimu yeye anaielew zaidi.

Na wanafunzi tuliokuwa tunawaita gipanga unasema wanaelewa mapema kumbe wenzio wameshakata mapindi zamani hapo darasani shule wanarudia tu kusoma,why asielewe mapema ?

Mimi nimesoma na mtu alikuja kupata div 1 nzuri tu,yule jamaa kila tupoic tuliyosoma darasani yeye alishaisoma mtaani,hivyo kama hatuelewi tunamuendea anatufundisha alafu tunasema yeye ni jiniazi.

Kumbe na sisi tungepoteza muda kusoma nje mapema kama yeye tungeelewa vizuri tu darasani kwa sababu ingekuwa tunafanya revision.

Usidanganyike na kitu ujiniaz bila juhudi za dhati,hakuna kuelewa mapema bila reason yeyote.

Kuna mambo mengi yanayochangia mtu kuelewa mapema lakini sio ujiniaz,sahau kitu hiki mkuu 😀😀.
 
Ushauri mzuri sana.

Maisha ya binadamu yanaongozwa na juhudi hakuna Bla! Bla! Bla!

Watu wanapenda kujifariji sana na tatizo linaanzia hapo.
Hahaha kabisa mkuu.

Wanatanguliza bahati badala ya juhudi.

Hata maneno ya Mungu.

Qurani mfano itakuambia "muombe Mungu msamaha kwa hakika Mungu ni msamehevu tena mwenye huruma"

Sijapata kuona aya imeanza kusema "Mungu anasamehe tena mwenye huruma basi omba msamaha"

Lakini aya zote zinaanza kwamba wewe ufanye juhudi kwanza ya kutafuta huo msamaha alafu ndo utaupata msamaha wake.

Hivyo juhudi inaanza kwanza
 
Mkaruka
 
Sema hujawahi kusoma na magenius tu ueleweke.

Kwa ambao tumesoma na vipanga shughuli yao twaijua
Hakuna ugenius.

Mlikuwa wavivu na wazembe tu.
Ama kuna concept wanazo ambazo zinawarahisishia wao kuelewa maudhui yaliyopo ama wanachofundishhwa.
Ama walishasomaga hizo mada kitambo ila wanajifanya kama hawajasoma vile.
 
Uwezo upo.

Kuna watu wana juhudi jamani nyie acheni. Juhudi kubwa sana lakini hawana mafanikio.

Kuna watu wana juhudi lakini hawafiki popote

kuna watu wana juhudi na kipaji lakini hawafiki popote

kuna wenye juhudi bila kipaji wanafika

kuna wenye kipaji bila juhudi wanafika

kuna wasio na kipaji wala juhudi ila kibahati na kubebwa "connection" wanafika

maisha haya sometimes hayaeleweki
 
Back
Top Bottom