Anakuwa ni mtu wa biashara zote lakini ni mtu wa mafanikio zero.Thomas Edison failed 10000 times....lakini hakukata tamaa...mtu akilima nyanya akifeli..anahamia kwenye vitunguu..akifeli anahamia kwenye sungura..mpaka miaka 45 hii hapa...anakua jack of all trades
Kumbe ni mara 10000 sio 1000 mkuu ?Thomas Edison failed 10000 times....lakini hakukata tamaa...mtu akilima nyanya akifeli..anahamia kwenye vitunguu..akifeli anahamia kwenye sungura..mpaka miaka 45 hii hapa...anakua jack of all trades
Sawa mkuu. Umeongelea mfano wa kutengeneza ndege na ndala ila mimi nimetoa mfano wa watu walio katika tasnia moja ya soccer. It's okay anyway.Kinachopimwa ni mafanikio ambayo kayapata mtu na wala sio nini anapitia.
Ukiwa hutumii nguvu kubwa kwa sababu ya talent yako ukawa umetengeneza ndara,alafu mwingine ambaye hana talent akatengeneza ndege bado huyu wa ndege ataleta matokeo zaidi ya huyu aliyetengeza makubazi ya kutembelea.
Mkuu msemo wako wa kizungu sijauelewa vizuri haya ni maoni yangu tu mkuu.
Sahihi mkuu.Sawa mkuu. Umeongelea mfano wa kutengeneza ndege na ndala ila mimi nimetoa mfano wa watu walio katika tasnia moja ya soccer. It's okay anyway.
Nimeshajibu huko juu mkuu alafu unarudia the same hoja.Mkuu hakuna genious anayehangaika kupiga msuli hadi kuloweka miguu kwenye maji, labda genius wa mabox. Wakati wengine watakaa masaa 24 kuweza kuelewa, genius atatumia hardly nusu saa ku-digest na kuelewa the same content.....
Umejibuje?Nimeshajibu huko juu mkuu alafu unarudia the same hoja.
Uwezo upo.Watakuja watasema wewe ni motivesheno spika..u nailed!π
Nimekupa evidence juu ya watu ambao walisifika vipanga na struggle walizozifanya.Umejibuje?
Bora umwambie. Edison alikuwa tapeli na janja nyingi.ulikuwepo ?
nae alikua motiveshen spika
Ndo neno bahati linakuja hapo!Uwezo upo.
Kuna watu wana juhudi jamani nyie acheni. Juhudi kubwa sana lakini hawana mafanikio.
14yrs ndo muda mchache?? Kijana unafeli mapema ..! Nakupata sana corner uliyopo..si baridi wala moto....haufai ww!Anajitahidi mama yetu.Namuamini japo ana muda mchache.
Ila mi sipo hilo kundi unaloniweka.Kuna siku utafahamu.
Hahaha kabisa mkuu.Ushauri mzuri sana.
Maisha ya binadamu yanaongozwa na juhudi hakuna Bla! Bla! Bla!
Watu wanapenda kujifariji sana na tatizo linaanzia hapo.
MkarukaHahaha kabisa mkuu.
Wanatanguliza bahati badala ya juhudi.
Hata maneno ya Mungu.
Qurani mfano itakuambia "muombe Mungu msamaha kwa hakika Mungu ni msamehevu tena mwenye huruma"
Sijapata kuona aya imeanza kusema "Mungu anasamehe tena mwenye huruma basi omba msamaha"
Lakini aya zote zinaanza kwamba wewe ufanye juhudi kwanza ya kutafuta huo msamaha alafu ndo utaupata msamaha wake.
Hivyo juhudi inaanza kwanza
Hakuna ugenius.Sema hujawahi kusoma na magenius tu ueleweke.
Kwa ambao tumesoma na vipanga shughuli yao twaijua
Uwezo upo.
Kuna watu wana juhudi jamani nyie acheni. Juhudi kubwa sana lakini hawana mafanikio.